Mwenzangu atakuwa mwananthropolojia. nimewaona jana wamekumbatiana kwenye uchochoro karibu na dukani kwa mpemba (taratibu wasisikie naogopa kusutwa)

Mrembo by Nature[MENTION][/MENTION] nimekukamata kumbe ndio wewe ulikua unatumulika na kurunzi!
Mfundishe maana wewe ni B52 chezea wewe!
Tatizo anataka hadi nimwandikie notes kwenye karatasi lol nani ana huo muda mchafu?
Ale kona
Wakuonewa wivu wewe??
Una nini hasa??
Heheh jipange upyaaaaaaaaa!
Halafu nakuomba achana na Kipipi wangu...tusiingiliane. Mrembo by Nature yuko single km vip komaa km kiwatengu kwa Remmy

Nicas Mtei mkwe wangu afadhali umeliona hilo na kusema, huyu Bishanga a.k.a bepari la kihaya ana vurugu sana
Halafu nakuomba achana na Kipipi wangu...tusiingiliane. Mrembo by Nature yuko single km vip komaa km kiwatengu kwa Remmy
Acha roho mbayaa.
Saidia wasiojiweza.