shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

Duh!! 16 damn pages?! I hope hii ni matokeo ya wapiga kura na kuwa sasa naweza ambiwa washindi wa mchakato huu ni nani! Sipo siku nyingi hadi nasikia zumbemkuu anatoka na Mrembo by Nature kama kapo ya Jf... Ni ya kweli haya? :A S 39:

CC: Bishanga

AshaDii watu wabaya humu chitchat wamenikera mpaka basi,mimi nimewaambia tuteue cordinator wa mtanange wao wanakimbilia chini ya skirt,sina hamu kabisa na zawadi nai withdraw.
Copy : Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nanukuu kisha nakuchukulia hatua.....'haya mambo haya mazito sana'bishanga tapeli la kihaya' ngoja niandae screw driver za kukutobolea kikojoleo chako.
Kopi: anti bilali wa cc

samahani sana!!! mbona huyu anti bilali wa cc hujamtaja vizuri?!?!
 
Back
Top Bottom