Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Haya haya kumekucha wana cc tupige kura kuchagua kapo inayoongoza kwa ucheshi,uaminifu,upendo,kuvumiliana,kuwa intact muda mrefu,ili mradi iwe ni kapo ya mfano cc.Kwa kuwa mimi sio mtaalam wa kuratibu mambo haya naomba mwenzetu mmoja ajitolee ku organize hili shindano,mimi nitatoa zawadi ya mshindi ambayo itakuwa one night full board Hilton Double Tree Masaki.
Nawasilisha,
Bishanga Abashaija,
Bilionea la kihaya.
Kopi: AshaDii
Nawasilisha,
Bishanga Abashaija,
Bilionea la kihaya.
Kopi: AshaDii
Last edited by a moderator: