shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

na asiponikabidhi changu nitamruka kama vile simjui. Ruttashobolwa bado ni kijana sana hawezi kujua haya mambo
siku akikua kua ndo atayaelewa vizuri tena kwa ufasaha mkubwa sana.

Mamndenyi umedakishwa mahela na tajiri la kihaya Bishanga ili umsafishe hapa au..? maana mpaka kaka yake Ruttashobolwa anajua kama sio damu yao ila wewe umekazana tu..
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaa, Mwanyasi sitamweza kabisa Erickb52, mtoto kapinda kama upinde wa mvua
nitamweza wapi kila anayekatisha mbele yake ni halali yake loooh, Erickb52 hiyo t-shirt ndo toleo la ngapi la kiwanda chako,
fanya hima urudishe ile avatar niliyoizoea kwa kuwa hapa sikuoni.
Dark City alinikaribisha kwenye chama chao lakini kila nikipita pale
ofisini milangoni pamebandikwa 'closed'

Afu we Erickb52, unasema Dark City hana muda na mtu?
Nitakusema kwa Mamndenyi..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom