sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Sababu ni moja tu, Kenya ni hub ya illuminatti kwa East Africa, ina viwanda vingi vya Illuminatti.Wachumi mtufafanulie taratibu tuelewe? Kwa mini sh ya Kenya INA nguvu kuliko ya tz?
Sababu ni moja tu, Kenya ni hub ya illuminatti kwa East Africa, ina viwanda vingi vya Illuminatti.Wachumi mtufafanulie taratibu tuelewe? Kwa mini sh ya Kenya INA nguvu kuliko ya tz?
Ukikopa sana na kulipa kidogo unajiingiza mkenge wa kulipa interest kubwa kiasi ukimaliza kulipa utajikuta umelipa deni ulilokopa mara 30.Mfano mwingine ni nchi ya Nigeria kulipa madeni ya nchi yote inayodaiwa, walifanikiwa kulipa madeni hayo kutokana na utajiri wa mafuta lakini kilichofuata ni kuleta mgogoro wa mafuta, yaani nchi inazalisha mafuta ya kutosha lakini magari yanapanga foleni kujaza gas, na mgogoro wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe na magaidi wa Boko haram pamoja na jimbo la Biafra kutaka kujitenga. Lengo ni kuhakikisha nchi inaingia kwenye bad political state ambayo mwisho wa siku hakuna ahueni ya maisha kwa wananchi.
Hata madini yetu yangekuwa yanapitia BOT ili hesabu ya mauzo ya nje yaani Foreign Export igekuwa inaonyesha gharama ya mauzo, wachambuzi wanasema labda ingefanya thamani ya shillingi iwe juu dhidi ya dollar, lakini hata hilo likifanyika halitawezesha shillingi yetu kupanda. Hakuna nchi rahisi kuishi kama tanzania. kwa vile ina hali ya hewa mtu yeyote hata masikini anaweza kuishi hata kama hana pesa za kununua nguo, na hata masikini anaweza kuishi kwa kulima kwa vile mvua na ardhi ipo, ndo maana bado dollar haijawa mbaya sana, na watanzania hata ukiishusha thamani ya shillingi tuna mifumo ya kienyeji ya kuishi pasipo kuwa tegemea hao illuminatti, hatuhitaji import ya chakula, tunalima wenyewe nk.
Kupitia Central bank Illuminatti wanachapa hizi currency na kuzikopesha nchi kwa kusign bond ya masharti nafuu, na madeni hayo huwa hayalipiki na kuzifanya serikali ziendelee kukopa na kukopa. Marekani yenyewe pamoja na utajiri wake wote inadaiwa na hawa Illuminatti 16Trl. Dollar pesa nyingi ambazo hazilipiki, Na deni hili linawarudia wananchi kwa kulipa kodi nk. japo pesa hizi zimepatikana kwa ku print tu, hii ni siri ya Illuminatti amabyo hawataki watu wajue.
Ndo maana napenda sana Magufuli anavyokusanya kodi lakini asiishie kutaka sifa ya kulipa madeni, yeye awakope sana afu kilipa kidooooogo, Ili tuwaingize mkenge hawa illuminatti.
Wanajamvi haswa wachumi nilikuwa naomba kuuliza, hivi kwa mfano Tanzania ikiamua kufuta pesa zake zote na kuanzisha currency mpya labda tukaiita KIDAKA, sasa tukaamua kwamba dola moja iwe sawa na KIDAKA mbili, je inawezekana? na kama haiwezekani ni kwanini? kwani nani anasimaia uanzishwaji wa currency mbona watu wana currency wanaziita kikwao kama kwacha, reale au yen? je wakati zinaanza zilikuwa chini hivyo hivyo? Dah ebu WACHUMI nisaidieni
Ni swali valid na zuri sana kwa wanaopenda kujua kanuni za kiuchumi zinaendaje, forex inafanya kazi vipi, kipi kinaweza kusaidia kupandisha uchumi wetu na kipi hakiwezi.Samahani kiongozi naomba uniweke sawa. Hii ni ndoto umeota au?
Sent by Bilionea ASIGWA mutu ya hela Mingi a.k.a Kifaranga Mutoto ya kuku 🙂🙂🙂Kuna tofauti kubwa kati ya thamani ya fedha na nguvu ya sarafu katika soko.
Kwenye uchumi so long as fedha yako haina nguvu ya kimanunuzi katika soko la dunia au unanunua kwa wenzako kuliko unavyowauzia basi hata kama ungepunguza masifuri au kuyaongeza kwenye tarakimu ya fedha yako bado inakuwa haina maana.
Nikukumbushe tu kuwa fedha ya japani inabadilishwa kama sawa na shilingi ya Kenya kwa fedha yetu hapa nchini.
Sasa usidhani kuwa Japani ni nchi yenye uchumi mdogo au fedha yake haina thamani kwa kuwa inalingana na ya Kenya katika exchange rate.
Marekani na Mchina wanagombana kila siku katika hilo.
Kwamba Mchina ameporomosha thamani ya fedha yake kwa makusudi ili iwe na nguvu katika manunuzi na inaihenyesha Dollar ya Marekani kweli kweli.
Hata kama tungefuta masifuri yote kwenye fedha yetu elfu 10 ikabaki kusomeka sh 10 bado kama hatuuzi vingi zaidi ya tunavyonunua ni kazi bure tu.
Sent by Bilionea ASIGWA mutu ya hela Mingi
Ni swali valid na zuri sana kwa wanaopenda kujua kanuni za kiuchumi zinaendaje, forex inafanya kazi vipi, kipi kinaweza kusaidia kupandisha uchumi wetu na kipi hakiwezi.
Sielewi kwa nini unafananisha swali na ndoto.
Mtu asiyeweza kufikiri katika hypotheticals ni sawa na mnyama.
Kutumia karatasi kununua bidhaa kwenyewe ni jambo linaloipa hiyo karatasi thamani ya ndoto.
Sasa kama unatumia hela ya karatasi ushakubali thamani ya ndoto.
Unashangaa nini kulinganisha swali hili na ndoto wakati hiyo hela unayotumia yenyewe ni hela ya ndoto tuliyokubaliana wote kuiamini?
Sent from my Kimulimuli
Nishakwambia hata wewe kutumia hela ya karatasi kununua bidhaa dukani ni ndoto pia.Hapana nilitaka kujua kama ni ndoto au ni maoni live. Ndoto nyingi sana pia zina maana and huwa zinathamani kubwa sana sema tu watu ama hawajali ama hawajui.
Nishakwambia hata wewe kutumia hela ya karatasi kununua bidhaa dukani ni ndoto pia.
Ni ndoto iliyokubalika na jamii.
Sent from my Kimulimuli
unaongea illusion wewe na conspiracy ambazo hazita msaidia lolote alie kuulizaHaiwezekani mkuu, ni sawa na kusema tuongeze upana wa mipaka ya nchi hadi KENYA yote , Uganda yote Rwanda na Burundi tuite Tanzania!
hizi nchi zina wenyewe sio mali yetu, hata hizi currency zimeanzishwa na wenyewe, Kazi ya Benki kuu ni hiyo kuongeza au kupunguza value ya pesa. Tambua BOT si mali ya watanzania. Ni mali ya Illuminatti/Jesuits wa Vatican, Hao jamaa wanaimiliki hadi Federal Reserve bank ya USA za zingine zote Duniani...
Hii ni open forum. Mpumbavu ni wewe uliye katika open forum halafu hujui maana ya open forum.Wewe ni mpumbavu. Unajibu swali langu kwani nimekuuliza wewe? Wtu kama wewe msioelewa kaa mbali na mimi. Sijakuliza wewe na hujui hata nini nilitaka kuendelea na mwuliza swali. Ondoa uharibifu wako hapa. Fueyewwwwww.
Hii ni open forum. Mpumbavu ni wewe uliye katika open forum halafu hujui maana ya open forum.
Kama unataka kuandikiana na mtu one on one tumia PM.
Unafahamu PM ni nini na kazi yake ni nini?
Sent from my Kimulimuli
Wewe hata kuandika hujui.Nimsema, uwahili wako wa kipumbavue peleka huko!. Kwa nini hutaki kuelewa? Huna mamlak ya kuntiaka niandike unahcotaka wewe. Ishia basi!
Kuimarisha sarafu si kitu kizuri mara zote.hiram sinajinasasa Nichumu Nibebike
INAWEZEKANA KABISA NI KUAMAMUA TU LAKINI KAMA HAKUNA MIPANGO MADHUBUTI YA KUIMARISHA NA KUSIMAMIA SARAFU ITARUDI TENA KULEKULE KWA MWANZO.
Nimefurahi sana kusikia neno Forex... naomba niku-PMNi swali valid na zuri sana kwa wanaopenda kujua kanuni za kiuchumi zinaendaje, forex inafanya kazi vipi, kipi kinaweza kusaidia kupandisha uchumi wetu na kipi hakiwezi.
Sielewi kwa nini unafananisha swali na ndoto.
Mtu asiyeweza kufikiri katika hypotheticals ni sawa na mnyama.
Kutumia karatasi kununua bidhaa kwenyewe ni jambo linaloipa hiyo karatasi thamani ya ndoto.
Sasa kama unatumia hela ya karatasi ushakubali thamani ya ndoto.
Unashangaa nini kulinganisha swali hili na ndoto wakati hiyo hela unayotumia yenyewe ni hela ya ndoto tuliyokubaliana wote kuiamini?
Sent from my Kimulimuli