Ni sawa mkuu...suala hapa ni je baada ya kufuta masifuri hiyo artificial fix itakaa muda gani?mfano pesa ya msumbiji metical walifuta masifuri kibao 2012.. $1=2500mt...Hivi sasa $1=7500mt yaani mara mbili ya ile ya mwanzoni!..kinachotakiwa ni kutengeneza mfumo wa uchumi wa nchi husika ili msirudi kulekule!hiram sinajinasasa Nichumu Nibebike
INAWEZEKANA KABISA NI KUAMAMUA TU LAKINI KAMA HAKUNA MIPANGO MADHUBUTI YA KUIMARISHA NA KUSIMAMIA SARAFU ITARUDI TENA KULEKULE KWA MWANZO.
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app