Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
Njoo hapa Njiro iaa uone wenzio wanavoteleza na skuna+socks wakati wanakimbilia CH II.Una Ugomvi na watu wa Arusha si bure. [emoji28]
Njoo hapa Njiro iaa uone wenzio wanavoteleza na skuna+socks wakati wanakimbilia CH II.Una Ugomvi na watu wa Arusha si bure. [emoji28]
Njoo hapa Njiro iaa uone wenzio wanavoteleza na skuna+socks wakati wanakimbilia CH II.
Kuna Mkigoma mmoja wa Maths, haruhusu uingie nyuma yake. Sa na vilima vya iaa, mpk raha kuwatazama. Uko wapi uje ujionee!Halafu wanakimbia nazo?!!
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ticha kupigwa limbwata suna
Kuna Mkigoma mmoja wa Maths, haruhusu uingie nyuma yake. Sa na vilima vya iaa, mpk raha kuwatazama. Uko wapi uje ujionee!
Mbona hadi leo unayavaa hayo makofia?Tena kuna yale makofia yenu kama masoksi mnaita sijui posholi
Ushaharibu!Mbona hadi leo unayavaa hayo makofia?
Au unadhani nimesahau ya India?
Njoo hapa Njiro iaa uone wenzio wanavoteleza na skuna+socks wakati wanakimbilia CH II.
Halafu kakaa kwa kujiamini barabara kabisa
Kajiamini mpaka waweza kumuogopaMubashara kabisa