Shikamoo skuna

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
299,202
751,825
IMG-20170404-WA0048.jpg
 
Hii kitu kweli WhatsApp imesambaa mno... Kila msg ya kijinga ya kusambazwa naifuta hapo hapo bora iwe humu Jf... Hizi alizovaa mchizi zamani ziliitwa Sido made in Tanzania kuwa mzalendo vaa cha Tanzania huku Nyerere akizuia mitumba nchini Mafundi Juma Wa vyerehani walikuwa wanapiga pesa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom