Shikamoo Polisi, kwa hiyo siku anayokuja Tundu Lissu tusiende kupokea wageni wetu?

Nadhani kwa kinachofanyika kinamuongezea zaidi umaarufu Lissu kuliko kumpunguzia, ni bora polisi wangetulia tu pembeni
 
Acha yote yatupate iwe aibu iwe fedheha.....lakini no mikusanyiko isiyo rasmi kwisha habari...NYIE watanzania tunajua kabisa ni waoga kama kuku!
 
Acheni kuweweseka, jukumu la polisi ni kuimarisha ulinzi, hata kama maadui wapo chamani.

Shame!

Ebu jione.. hufahamwu.. kufikiria ku inje ya boksi.. si wamebwaacha.. tumia kuakili.. jaza kushemu kwa kichwa yako..
 
Back
Top Bottom