Shikamoo mwanamke!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Shikamoo Mwanamke.jpg
 
majukumu ya mwanamke wa ndoa wa kizaz hiki " kupandwa,kubeba mimba, kuzaa, kukupa umbeya mume wake , makelele na kulaumu kila cku kwenye ndoa"
 
majukumu ya mwanamke wa ndoa wa kizaz hiki " kupandwa,kubeba mimba, kuzaa, kukupa umbeya mume wake , makelele na kulaumu kila cku kwenye ndoa"

Hahahah dah ukweli mtu hasa hapo kwenye kulaumu na makelele ni hatar sanaa
 
Uyo n mwanamke wa kijijini ambae kaishia class 7 au kidato cha kwanza kwa kukosa ada.....hiyo haiendan na mwanamke wa mjini kabisa
 
Yeah, kuna wamama wanajitoa sana kwa familia zao, nawapa hongera,

ila mbona mna generalize kwa wanawake wote? wanawake wote hawapo hivi, wengine wanapanga foleni mabwana kazi hawataki, wamekaaa kuomba hela tu ,

kuna wanawake nawaheshimu sana wengine nawaona ovyo sana
 
Back
Top Bottom