Shikamoo mwanamke!!

Shikamoo mwanamke!!

Huu utafiti umeufanya miaka mingapi iliyopita mkuu na mazingira gani???
 
Married woman?? Naah! Only single moms do that!! And that is because they have no other option!
Si kweli. Hata married women tunafanya hivo.

Wengine wameolewa na wanajitolea kusaidia waume zao. Plus kazi za nyumba na majukumu ya ulezi. Na kufanya kazi ofisini au biashara.
Hapana chezea mwanamke.
Angalizo: ingawa si wote.
 
kwa maisha ya sasa .?! thubutu..!

edit hapo andika "beki tatu shikamooo.."

nitakuelewa kidogo

Hahahahahahaa
Hata hao benki tatu ni wanawake hivo Shikamoo iko palepale. Labda pale shughuli hizo zinapofanywa na houseboy.
 
Ukitaka kujua umuhimu wa mwabamke, aondoke nyumbani

Kuna wanaume wanafikiri ati na kuna wanaume wako full kujihudumia na wanafanya yote hayo anayofanya mwanamke. Kuanzia baby sitting hadi kuhudumia mgonjwa. Ila hii wanaweza wale waliolelewa kufanyakazi zote bila kujali mwanamke yupo au hayupo.
Mwanamke anayekutana na mwanaume wa namna hii inabidi awe smart sana maana ukiondoka nyumbani na kumwachia nyumba ukifikiri unamkomoa utakuta anasonga mbele na wala hakutafuti hasa kama hana kosa au issue iliyokuondoa home ni minor. Mwanaume atamiss kashata tuu na hiyo anaweza ipata magoti aka ohio aka kona bar.
 
Si kweli. Hata married women tunafanya hivo.

Wengine wameolewa na wanajitolea kusaidia waume zao. Plus kazi za nyumba na majukumu ya ulezi. Na kufanya kazi ofisini au biashara.
Hapana chezea mwanamke.
Angalizo: ingawa si wote.
Majigambo yote hayo... Ole wako Mwanaume uachishwe kazi halafu mwanamke ndie achukue jukumu la kutunza familia utaomba haft time..!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom