Shikamoo kishimundu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,640
729,672
1451105614931.jpg
 
Huo mchanganyiko mbaya sana tumboni. Gesi itakayotengenezwa dah ni zaidi ya mabomu ya syria.
 
Kula hizo karanga kwa siku tatu mfululizo huku ukisukumizia na maziwa mgando (maboboto/maliboto). Atakayekosea akakupa mbunye hapo bao utakalomchapa atakwenda kusimulia huko kwao!
 
Kula hizo karanga kwa siku tatu mfululizo huku ukisukumizia na maziwa mgando (maboboto/maliboto). Atakayekosea akakupa mbunye hapo bao utakalomchapa atakwenda kusimulia huko kwao!
Fasta kesho naanza hii remedy
Karanga siku 3 mfululizo kila siku 1/2 kilo
Maziwa mgando siku 3 kila siku 1/2 lita
..... Halafu naitegesha..... Atakayekosea.....!!!!
 
Back
Top Bottom