Shikamoo kina mama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shikamoo kina mama

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kashaijabutege, Dec 20, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Shikamoni kina dada wa kike na wa kiume

  Nimewamiss sana. Nilienda nje ya nchi kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho ya umri. Wataalam wamefanikiwa kupunguza umri wangu mpaka kufikia miaka 30 tu.

  Cheusimangala na Afrodenzi ndio waliniomba nifanye hivyo ili nimuoe mmoja wao.

  Jamani nimerudi.
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Duuuh! haya twasuniri hiyo harusi.
   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Kumbe kuna kina dada wa kiume!!!!!! :juggle:
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kina dada wa kiume wakoje...?
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Sifa za KIJINGA!

  Wewe ni mwanaume wa kike au wa kiume?
   
 6. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mie ni dume la kiume. Samahani kama nimekukwaza.
   
 7. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kama alivyoimba Lady Jay Dee (Wanaume kama mabinti.....)
   
 8. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Labda huu uzi upo dedicated kwa wadada wa kiume (mashoga). :eyebrows:
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Yawezekana ati!!
   
 10. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  marhaba hopefuly hujambo,nilikupendea uzee wako lkn kama umerekebisha umri ukawa kijana wa 30 sikutaki tena,pia utakua hela zote umemalizia kwenye hayo marekebisha hutaweza tena kunipeleka dinner za maana.
   
 11. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  teh teh teh,
  ngoja nimwambie jamaa arudi huko ughaibuni wamrudishie umri wake na hela zake walizochukua labda anaweza kukupata etii
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Cheusie wafanya nini hapa? oohoooo!!! lol
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ucjali kungwi wangu,si umeona jibu nililompa lazima akate tamaa..baada ya hayo nakusalimia sana nikitumai hujambo.
   
 14. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kumrudisha ujana wanaweza hela yake tu ila simshauri coz anaweza kuwa kama michael jackson tutakimbiana bure.Kumrudishia hela sidhan hiyo ni non refundable biznezz.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Hapo sawa....lol... Safi saaana, maana nikaona ka wataka potea....
   
Loading...