Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kweli tena!serious?
Naomba unambie, maana mi naona mapicha picha tu hapo
Kweli tena!serious?
Kweli tena!
Naomba unambie, maana mi naona mapicha picha tu hapo
Kweli tena!
Naomba unambie, maana mi naona mapicha picha tu hapo
Mimi ni mtz, nilizaliwa,nimekulia na ninaishi Nanjilinji. Hivyo hao watu nilisikiaga habari zao ila nilikuwa sijui sura zao.Samahani mi km Mtz naendeleza mila!
je umezaliwa hapa hapa TZ?
2. umekuja lini bongo?(lol)
huyo mhindi ni Herbinder Set,na LUGEMALILA ! wana wazifa kama sio wadhifa(faranga za kutosha bajeti ya mwaka 2017/2018)
Mimi ni mtz, nilizaliwa,nimekulia na ninaishi Nanjilinji. Hivyo hao watu nilisikiaga habari zao ila nilikuwa sijui sura zao.
Asante kwa kunitoa tongotongo mamy!![]()
![]()
Kwa hali hii, bila shaka hata lile pulizo kwenye tumbo la baniani limeshanywea na kuwa la kawaid. Si unaona, kitambi kwisneiii!
Kwa hali hii, bila shaka hata lile pulizo kwenye tumbo la baniani limeshanywea na kuwa la kawaid. Si unaona, kitambi kwisneiii!
Puto limeisha upepo?
Sawa ntawasalimia.wasalimie nanjilinji!hawa ndo wametufanya sukari ipaeee !si umeona imeshuka had 1700/kg?

Ndivyo tulivyoumbwa. Mungu aturehemuNaona wengi hatufurahii justice na kinachotufurahisha ni kuwaona wakiteseka huko jela,
Wengi hatuhoji kama kweli wana makosa au laa mwili wao ukiisha basi raaaha mustarehe kwetu
Hapana bhana hatutafanikiwa kwa kuwaombea mabaya waliofanikiwa
Haki itendeke tu hapo kama wanastahili wafungwe na kama hawastahili waachiwe huru
utakuwa uko vizuri... kwa matusi hayo duuhQumamaqe na bado hapo wamepewa likizo ya Pasaka tu