Shikamoo jela!!

Shikamoo jela!!

mmhh!! sina hakika kama hizi picha ni za hao jamaa,

watakuwa wamefika kwenye hali hiyo kweli!!!
 
Katiba ingeli badirishwa ili na wengine wote wapate haki sawa. Uzalendo nikuto kuogopa kuwawajibisha wengine na kuto kuogopa kuwajiba hata mara baada ya kutoka madarakani.
 
ILA KUNA WATU KULE JELA WANANAWIRI KABISA, NILISHANGAA NILIVYOKWENDA KAMA MAHABUSU KUONA WENGNE WANANAWIRI
 
Hii si ya kufurahia elewa hawa ni suspects bado hawajahukumiwa means wana haki yao ,kitendo cha kuwanyima dhamana ni ukosefu wa haki za binadamu,na hili ndani ya nchi yetu tunalifurahia because hawa sio ndugu zako ila siku yatakapokukuta kwa ndugu yako kupata haya ndio utakapotambua hili ni kosa kubwa;naamini hawa walikamatwa kwa mashinikizo bila hata ya kukamilika kwa upelelezi yakinifu na mbaya zaidi our courts nazo zinaendeshwa kisiasa badala ya kisheria
 
wasalimie nanjilinji!hawa ndo wametufanya sukari ipaeee !si umeona imeshuka had 1700/kg?

Hao ndo wamefanya viwanda havijengwi,ila toka wamewekwa kizuizini nchi imejenga viwanda vya kutosha na uchumi umepaaa!!!!!.....Mungu anamuona mfugaji wa chatto.Wacha watu waishi kama mashetani.
 
Hii si ya kufurahia elewa hawa ni suspects bado hawajahukumiwa means wana haki yao ,kitendo cha kuwanyima dhamana ni ukosefu wa haki za binadamu,na hili ndani ya nchi yetu tunalifurahia because hawa sio ndugu zako ila siku yatakapokukuta kwa ndugu yako kupata haya ndio utakapotambua hili ni kosa kubwa;naamini hawa walikamatwa kwa mashinikizo bila hata ya kukamilika kwa upelelezi yakinifu na mbaya zaidi our courts nazo zinaendeshwa kisiasa badala ya kisheria

kweli mkuu,majinga yanafurahi bila kujua kwamba dunia ni duara.leo wao kesho sisi.
 
Hao ndo wamefanya viwanda havijengwi,ila toka wamewekwa kizuizini nchi imejenga viwanda vya kutosha na uchumi umepaaa!!!!!.....Mungu anamuona mfugaji wa chatto.Wacha watu waishi kama mashetani.

Huku nilipo nw kuna viwanda 5 vinajengwa kwa mpigo!vya madawa ya wanyama na binadamu !nasikia watakuwa wana export madawa mambele huko!i mean panadol ya kenya haitafua dafu kwa panadol yetu
 
naona Singa na Ruge..

Ila ingependeza zaidi angekuwepo yule
~'mama wa hela ya mboga
~aliyekuwa waziri wa nishati
~wale maaskofu
~yule jaji
~wale wa viroba vya pesa nk.
 
naona Singa na Ruge..

Ila ingependeza zaidi angekuwepo yule
~'mama wa hela ya mboga
~aliyekuwa waziri wa nishati
~wale maaskofu
~yule jaji
~wale wa viroba vya pesa nk.
Hapo kwenye viroba vya pesa hapoo,wenyewe sasa hivi wanazuga eti ni wakulima na wafugaji baada ya kustaafu
 
7e95ea24c0a0a685051d94ca1337e09e.jpg
Ewaaa... MBITIYAZA hawa ndio niliokuwa nawafahamu sio hao wanaotoka jela
 
Zama hizi wenye pesa ni sawa na maskini tu. Watu wote ni sawa.Ukiingia kwenye 18 za watu haki ya Mungu unavuja jasho. Watu wako kazini.

Respect!

IMG-20180306-WA0017.jpg

IMG-20180306-WA0016.jpg
 
Maulana Mola wangu tuepushe milele!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom