Shikamoo hii ya mpenzi wangu siielewi

Shikamoo hii ya mpenzi wangu siielewi

Niliona hyo kwa wasukuma....sikuelewa ni kwa nin...

Personal siipend mana nahis hatakua creative ndani....
Yan utakua kama mwalimu...

Wakati mim napenda nipe nikupe....
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi?
Duh, nimecheka hadi mbavu zinauma!
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi?
Ha ha ha ha ha ha ha ...aisee huku JF sitoki
 
anakufanya ndondocha wake ....

nikuulize swali ?
vp mambo yetu unapewa ? kama unapewa haya mengine ya kuamkiwa potezea .... dunia ina visa sana
 
Kwa mzee wa upako...
Naomba na mie grants nijiboost leo jua kali
Karibu sana hapa Makuti bar Bunju. Uzuri pana vyumba vya kulala wageni incase grants ikikuchenjia
 
Hahahahaha mimi nikitaka kumtania Smart911 au kumchokoza au nikimuudhi sasa Ile kukosa pa kuanzia huwa namwambia shikamoo kaka smart [emoji79]

Mida anajibu " njoo uishike " [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
We babu haya maneno yako ni Hatari
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119]
 
Back
Top Bottom