Shikamoo hii ya mpenzi wangu siielewi

Shikamoo hii ya mpenzi wangu siielewi

Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nmecheka sana aiseeee bila kutarajia
 
Hahahahaha mimi nikitaka kumtania Smart911 au kumchokoza au nikimuudhi sasa Ile kukosa pa kuanzia huwa namwambia shikamoo kaka smart [emoji79]

Mida anajibu " njoo uishike " [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kinachofuata hapo... Wacha nikae kimya tuu...
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] watu mna maneno ya ukweli hadi basi
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
Wasukuma hatupumui wamu hii, bora iishe tu kah.
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
Hahahahaaaaa. Babu Shikamoo!

Ila Babu unamakavu jamani. Sababu uzee wako hujawahi kuutumia vibaya aisee.
 
Wadau Nina girlfriend wangu tuna Mwezi mmoja yeye Ana miaka 27 Mimi Nina miaka 29 lakini cha ajabu ananiamkia shikamoo akiwa na rafiki zake lakini rafiki zake wanajua Mimi ni shemeji yao. Hivi hapa nini kinaendelea au nafanywa Awilo Longomba.
kawaida yao!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha kitambo sana Awilo longomba
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Baba huyo mwanamke anakuchit na atakuw n mwanaume mwingine mfatilie kwa makin anakulagai tuu...
 
Back
Top Bottom