Shikamoo hii ya mpenzi wangu siielewi

Shikamoo hii ya mpenzi wangu siielewi

Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
Madongo kama haya huwa hayatolewi karibu na siku pendwa ya Valentine, au umelitoa kwa vile mwaka huu ni sare sare maua na siku ya majibu?
 
Hahahahaha Jamii Forum raha sana, sasa kuna ubaya gani kuambiwa shikamoo? Au ndio hutaki kuonekana mkubwa?
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
mkuu unatishaaa siyo kwa majibu hayo haaa🙂🙂🙂🙂
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
ahaa ahaaa mkuu umetishaaa.Mwambie aitikie tu 🙂🙂🙂🙂
 
Basi sawa. Ila hata wewe roho ilikutuma na nafsi ikaridhia sio vibaya ukanitafuta tukatenda dhambi pamoja
kweli unapanga kutenda dhambi na Mungu akiwa anakuona utaamka kweli wewe kesho?sema Mungu wetu ni mwenye huruma .Mimi nafsi wala roho haivijaridhia sema ulinifanya nicheke na majibu na maswali uliyomuuliza mdau,yakutumia sabuni ya unga kuogea.
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
 
Mbona kawaida tu,hata mie namuamkia nikiamka akili zangu zimekaa makalioni..
 
kweli unapanga kutenda dhambi na Mungu akiwa anakuona utaamka kweli wewe kesho?sema Mungu wetu ni mwenye huruma .Mimi nafsi wala roho haivijaridhia sema ulinifanya nicheke na majibu na maswali uliyomuuliza mdau,yakutumia sabuni ya unga kuogea.
Hahahaha... dont take Asprin too serious bhana.

Nachangamsha jamvi tu. Mimi ni mtumishi... muda si mrefu naenda mlimani kuwafanyieni maombi...

Siku nyingine usikwazwe na vikauli vyangu hapa JF.... karibu madhabahuni... usisahau kuja na sadaka
 
Back
Top Bottom