Shikamoo hii ya mpenzi wangu siielewi

Shikamoo hii ya mpenzi wangu siielewi

Hii tunaita abracadaba yani umebetia pesa ya rambi rambi
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ha ha ha kkm
 
Kawaida kabisa kuamkiwa na x wako hakuna kipya hapo
 
Hahahaha... dont take Asprin too serious bhana.

Nachangamsha jamvi tu. Mimi ni mtumishi... muda si mrefu naenda mlimani kuwafanyieni maombi...

Siku nyingine usikwazwe na vikauli vyangu hapa JF.... karibu madhabahuni... usisahau kuja na sadaka
Ahaaa ahaaaa sawa baba Askofu.Siyo rahisi unikwaze mtu kujui.kama u mtumishi inabidi tuanzishe kikundi cha maombi tunaamshana saa tisa usiku kusali right??
 
Wadau Nina girlfriend wangu tuna Mwezi mmoja yeye Ana miaka 27 Mimi Nina miaka 29 lakini cha ajabu ananiamkia shikamoo akiwa na rafiki zake lakini rafiki zake wanajua Mimi ni shemeji yao. Hivi hapa nini kinaendelea au nafanywa Awilo Longomba.
tactics my friend... so wewe jiongeze uone kama its a positive one or not.
 
Ahaaa ahaaaa sawa baba Askofu.Siyo rahisi unikwaze mtu kujui.kama u mtumishi inabidi tuanzishe kikundi cha maombi tunaamshana saa tisa usiku kusali right??
Saa tisa ndo huwa nashuka Mlimani baada ya kusambaratisha mapepo machafu. Kama unapenda kuamka saa tisa ntakuteua kuwa kiongozi wa kwaya na mapambio
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hamna tabu anakusalimia maana ana adabu. Hongera maana ni waschana wachache wako ivo
 
Ukiona hivyo ujue sura yako imefanana na ya Sizonje... Yaani mtoto wa miaka 29 unaonekana kama mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyepunjwa mafao...

BTW... we ni msukuma? Umekuja mjini mwaka jana mwezi wa ngapi? Isije ikawa bado unaogea kwa sabuni ya OMO.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jamani duu yaani nimecheka mpaka usingizi umekatika
 
Kaka, usiogope. Kwani wewe hujui kuwa wanawake maeneo ya pwani huwa wanawaamkua waume zao?. Hiyo ni kuonyesha heshma kwao. Kwani si unajua maana ya shkamoo, (Niko chini ya miguu yako, au Niko chini yako). Maana yake chochote utakachosema kwake ni amri kama vile jini na mmiliki wake. Itikia marhaaba usione aibu.
Kwetu sisi tulioishi maeneo ya pwani, unapotaka kumuomba mapenzi mwanamke mdogo kwako kiumri, unamwita anakuja, ankuamkia unaitikia, kisha unaendelea kwa kumpa Sera zako akizikubali na mkawa wapenzi hataacha kukuamkia .
Wengi maeneo ya mikoa ya kanda ya ziwa akitaka mapenzi kwa mwanamke mdogo, akiamkiwa anafikiri kahesabiwa kuwa hapaswi kuomba penzi , hivyo anaahirisha maombi yake.
 
Back
Top Bottom