First Ban ime fail. Ngoja ni kuletee jini la surenda bridge nione kama uta tembea
Bila baraka zake yule ni batili...., tena ukilazimisha kitoto kinaweza zaliwa kimeshika msokoto wa ganja mkononi
Taja uwezo wako Baba mbona unakwepa kwepa
nikumbushe jina la hilo jini.
nauliza tu wewe una usafiri wa kutembelea?
Madame B yuko wapi!??
daddy am still young
Mimi ni muuza pipi maarufu wa mjini jmn
Ana kesi ya kujibu kwa kuwa amekutangulia!!? naskia na KOKUTONA nae ameanza kurambaramba ndimu ni kweli!??