MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
Tatizo hapa weYupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
hujitambui ndo mana
Tatizo hapa weYupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
hujitambui ndo manaKakusaliti nini?Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Kama ulivyo weKumuunga mkono Lissu yakupaswa usiwe na uwezo wakufikiria kichwani
ambae hujitambui kuwa ni Nani alietufikisha hapaAsavali Mara 10 Pascal huwa anajitambuaShigongo hana utofauti na pascal mayalla
ni kweli bila upambe hukubaliki hata kama sio sawa sifia tu ili uonekaneInawezekana anajua, anajikomba tu kwa watawala.
Comment yako imedhihirisha uelewa wako. Ulivyo read more books for more knowledge.Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Wasomi uchwara na makada wa CCMWasomi ndiyo waliotufikisha here we are.

endeleza riwaya za ngono mkuuMfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.
Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.
"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo
View attachment 525174
Kama nilivyosema unazidi kuonyesha udogo wa shule yakoShigongo ndo wale 'hajui na hajui kuwa hajui'
Huyu ni panyalodi wa lumumbaah, zuwenaa.!!!!!!!!!!!!
Najaribu kufukiria kama endapo nchi hii asingekuwepo MTU anaeitwa LISSU sijui tungekuwa wapi sasaivi...Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.
Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.
"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo
View attachment 525174

Umesahau huyu Pombe. Alikuwepo wakati tundulisu na wenzake wanapinga miswada inayotufilisi mbona hakuungana nao? Kama c unafikuna ni nnWatanzania tuamke... Kuingiza siasa tunapozungumzia maslahi ya Taifa nadhani ni Upumbavu
Nampongeza Mh. rais kwa hatua anazochukua kwa wahujumu wa maliasili za Taifa.
Wanaopinga.... Wapinge coz WAPo #br ney
weVibaka wa ccm wamemshtaki mpaka wamechokaLisu ni ubishi tu wa kinyaramba unamsumbia ! Hivi ana kesi yoyote ya rejea ?
Wewe ndio wa kupimwaKwamba hata wewe hujui awatete juu ya nani!
Kweli kuwa mfuasi wa Cdm lazima uwe nusu kichwani!
Anaacha kuitetea Tanzania anawatetea Wazungu
Wewe unaona yupo sawa!
Mkapimwe siyo bure