Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,124
Yes mamluki tu huyoo..huyu c ndo alikua analialia kadhulumiwa na CCM?
Yes mamluki tu huyoo..huyu c ndo alikua analialia kadhulumiwa na CCM?
Uzalendo upi? Lisu tokea 1998 anapigania haya makinikia iweje useme Hana uzalendo? Bunge la ndiyooo lililipitisha mikataba mibovu magufuli alikuwa ni mmojawapo leo hii kaja na blackmail apige pesa za wazungu kama mkapa mnajidai kumshangilia, kuna nini jipya? Malalamiko yapo tokea siku nyingi sana.Shigongo anajielewa sana. Huyo Lissu hana uzalendo hata chembe. Kabaki kumshangilia Lowassa tu!
PhD za kuiba mitihani kisha kukosa Akili kama Lipumba hazina maana bora kujinadi kuwa ni darasa la saba kama Mbunge wa Geita kuliko kujinadi usomi wakati vichwani hakuna Taaluma wala maarifa kuliko wa darasa la 7.Kumbukeni Shigongo ni PhD holder!
lisu kaanza zamani tokea 1998 kupinga huu wizi wa madini cha ajabu magufuli kaja 2017 kupinga kapewa sifa zote wakati kipindi cha kupitisha mikataba mibovu alikuwa ni mmojawapo wa wabunge wa CCM wasema ndiyooooo...Kwan ni lazima binadamu wote tufikiri sawa??? Kila mmoja anatakiwa kusimamia kile anachokiamin iwe ktk siasa au maisha tu ya kawaida....hvyo sion haja au sabbu ya bwana shigongo kujitesa kujua kwann mh lissu hayupo km wanavyotaka wao.....kina lissu wangesema wawe km kina shigongo wanavyotaka miaka ya 90's bas hata hili la makinikia leo tunaloongelea tusingelijua.....utofaut wa mawazo ni kitu muhimu sana na binafs naamin hta mh rais yapo mambo ambyo akisikia kutok kwa wapinzan mf kwa lissu anayakubali na kujua umuhm wake ila anakubali kimya kimya(kimoyo moyo) ili isionekane kafundishwa au kapewa mwanga na wapinzan....vivyo hvyo ht kwa wapinzan mf huyo lissu najua ypo mambo mh rais anayafnya kimoyo moyo wanaunga mkono ila ni ngumu kuyasema adharani kwasabb ya kuepusha kubweteka kiutendaji lakin pia kichama ni changamoto.....
Ila sio muhim kufoc watu wakuunge mkono pasipo wao kuamua...tena ni bora ichukue mda mrefu kwa mtu kufikilia kuunga mkono mana akisema akuunge mkono au awe upande wako bas jua kua umemshawish vya kutosha na atakupenda zaid than yule mtu anaekurupuka kuunga mkono kitu bila kutafakar kiundan akijapata uelewa akagundua ulidangany bas tambua mtu wa aina hi utampoteza kirahis sana
Kufata mkumbo hakufai bora uwe peke ako ila uwe fresh na unachokiamin
Shigongo anajipendekeza kwa magufulishigongo huyu. kwenye stori ya maisha yake alisema hawezi kua na akaunt kwenye mitandao ya kijamii
Alipigwa zaidi ya mia moja milioni kwenye kura za maoni na kura hakupataHuyu Shigongo si ni yule wa CCM alienyimwa UBUNGE pale jimboni BUCHOSA??!!!Kama ni yeye mwambieni atuache kidogo
unachomuogopea lissu ni nini, kaiba au kafanya nini, wa kuogopa ni hao waliotufikisha hapa mpaka sasa, uozo mfanye nyie mnaopiga na kuwaburuza viwete mnakuja kulaumu lissu, kila iitu ndio ndio, hatimae mnalaumu upinzani, kwani wao ndiobwaliosign uozo mliotufanyia, kajambe hukoLissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
nikwambie kitu, kijani kupita 2020 lazima roho za watu zipotezwe, na demographic itokee, manake ninavyoona kupita kwa hawa watu 2020 lazima waue na damu imwagike, hivi hivi, tukienda kihalali kijani mbona chali mapema, mtatumia ubabe wenu muue raia hapo mtaingia, omba uhai na uzima na mark my wordsShigongo yuko sawa. Kujua sheria na kujua siasa ni vita viwili tofauti sana. Wote tulisikia jinsi Lissu alivyokuwa mwongeaji mzuri kwenye kampeni za Katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu. Lakini ni wazi usiopingika kuwa, ukimlinganisha Lissu na DJ ambaye ndiye Mwenyekiti wao utakuta Lissu Hana ubavu wa kumzidi hata Mbowe. Mteueni Lissu akutane na Magufuli 2020 mtaona jinsi VITA YA KUPINGANA NA MAGUFULI HAITAMWACHA LISSU SALAMA 2020.
Shigongo asiye na hata MB moj a ya kisheria ya mikataba ya madini anajilinganisha na Lissu nimwambie tu kuwa" tumefika hapa kwa sababu ya ccm,Waliofunga mikataba hii niccm,waliwachagua kuongoza wizara nic ccm Leo wanajivua gamba au wanafunua nyeti zao?Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.
Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.
"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo
View attachment 525174