jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Hao sio wasomi ni wezi wamevaa itikadi za kijamaa.Wasomi ndiyo waliotufikisha here we are.
Hao sio wasomi ni wezi wamevaa itikadi za kijamaa.Wasomi ndiyo waliotufikisha here we are.
ah, zuwenaa.!!!!!!!!!!!!Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Labda anajipigia mwenyewe!Shigongo huyu huyu jamaa aliyeshindwa kumzuia mwanae kuacha ushoga?
Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Kweli au just jokingMtu akishaitwa tundu unategemea nini hii nchi ina Uhuru mkubwa nchi za wenzetu mtu kama tundu lisu hata u prefect wa shule ya msingi hawezi kupewa
MWEHU huyo anatafuta kusikia kupitia LISU... sijui kalipwa Deni lake?Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Level ya shigongo ni akina Lusinde na mlisho mpoto
kwani zile pesa zake za vifaa vya kampeni Alishalipwa na ccm?Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.
Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.
"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo
View attachment 525174