Shigongo amvaa Tundu Lissu

Shigongo amvaa Tundu Lissu

Watanzania tuamke... Kuingiza siasa tunapozungumzia maslahi ya Taifa nadhani ni Upumbavu
Nampongeza Mh. rais kwa hatua anazochukua kwa wahujumu wa maliasili za Taifa.
Wanaopinga.... Wapinge coz WAPo #br ney
 
Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Usisahau Shigongo amepeleka invoice ya upigaji ya mabilioni ccm wamegoma kulipa deni la kitapeli, alipomlilia mama Zakhia Meghji hskuwa na la kumsaidia zaidi ya kumwambia mwanangu kunywa maji.

Silly season imeanza upya talajia mtu yeyote usiyeimba mapambio kama kwaya masta wetu anavyoelekeza wewe utaitwa msaliti na siyo mzalendo.

Leo bungeni bila hata chembe ya aibu Kangi Luoga amelitangazia Taifa kwamba Tanzania haijawahi kupata Rais kama Magufuli, haya ni matusi na natalajia mwenyekiti wa ccm akemee tabia hii haimjengi kwa lolote zaidi ya wajinga wachache wanaoendeshwa kwa matakwa ya tumbo, video ipo kwenye Facebook page ya mwananchi inaudhi, inakera na inatia kinyaa, ni matusi makubwa leo kumsahau Baba wa Taifa kwa mizuka ya makinia huku hata hesabu ya dhahabu iliyokwenda nje kila Mtanzania alistahili kuwa na Marcopolo lake, sisi ni wajinga sijawahi kuona hapa duniani.

Wazalendo wa kweli wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tunamshauri akemee tabia hii ya kumpachika sifa za marehemu ambayo inaota mizizi, nilidhani wale wa Tbc baada ya kusimamishwa kazi wangekuwa wamejifunza lakini wapi.

Ninasikitika kwamba hata hiyo mikataba ikiletwa bungeni msitalajie lolote la maana kwa aina ya wabunge tulionao na hada majority kutoka ccm huu ni msiba kwa Taifa.

tapatalk_1497522863749.jpeg
 
Shigongo yuko sawa. Kujua sheria na kujua siasa ni vita viwili tofauti sana. Wote tulisikia jinsi Lissu alivyokuwa mwongeaji mzuri kwenye kampeni za Katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu. Lakini ni wazi usiopingika kuwa, ukimlinganisha Lissu na DJ ambaye ndiye Mwenyekiti wao utakuta Lissu Hana ubavu wa kumzidi hata Mbowe. Mteueni Lissu akutane na Magufuli 2020 mtaona jinsi VITA YA KUPINGANA NA MAGUFULI HAITAMWACHA LISSU SALAMA 2020.
 
Sasa hivi kila mtu aliyesahaulika na anataka akumbukwe basi anajitoa ufahamu na kujifanya anapambana na Lissu na ataonwa. Hiki kifaa kinaitwa Lissu sijui thamani yake tuilinganishe na nini kwa sasa!

Kutoa kauli kama hii ya Shigongo kumshtumu Lissu bila kukosoa hoja zake kwa hoja ni njia ya kumfagilia.
 
Usisahau Shigongo amepeleka invoice ya upigaji ya mabilioni ccm wamegoma kulipa deni la kitapeli, alipomlilia mama Zakhia Meghji hskuwa na la kumsaidia zaidi ya kumwambia mwanangu kunywa maji.

Silly season imeanza upya talajia mtu yeyote usiyeimba mapambio kama kwaya masta wetu anavyoelekeza wewe utaitwa msaliti na siyo mzalendo.

Leo bungeni bila hata chembe ya aibu Kangi Luoga amelitangazia Taifa kwamba Tanzania haijawahi kupata Rais kama Magufuli, haya ni matusi na natalajia mwenyekiti wa ccm akemee tabia hii haimjengi kwa lolote zaidi ya wajinga wachache wanaoendeshwa kwa matakwa ya tumbo, video ipo kwenye Facebook page ya mwananchi inaudhi, inakera na inatia kinyaa, ni matusi makubwa leo kumsahau Baba wa Taifa kwa mizuka ya makinia huku hata hesabu ya dhahabu iliyokwenda nje kila Mtanzania alistahili kuwa na Marcopolo lake, sisi ni wajinga sijawahi kuona hapa duniani.

Wazalendo wa kweli wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tunamshauri akemee tabia hii ya kumpachika sifa za marehemu ambayo inaota mizizi, nilidhani wale wa Tbc baada ya kusimamishwa kazi wangekuwa wamejifunza lakini wapi.

Ninasikitika kwamba hata hiyo mikataba ikiletwa bungeni msitalajie lolote la maana kwa aina ya wabunge tulionao na hada majority kutoka ccm huu ni msiba kwa Taifa.

View attachment 525221

Sikukuu ya wajinga hapa kwetu ni mwaka mzima
 
Huyu Shigongo si ni yule wa CCM alienyimwa UBUNGE pale jimboni BUCHOSA??!!!Kama ni yeye mwambieni atuache kidogo
Hivi huyu Shigongo ameshalipwa deni lake la kofia na madela alowauzia CCM? Au anabembeleza ili alipwe?
 
Yupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
Inafurahisha pale unapomsikia Mbunge au Waziri wa CCM anasema Eti Lissu ameshindwa "kutetea wananchi wake jimboni..." sasa najiuliza, anatakiwa awatetee dhidi ya nani? Jibu: awatetee dhidi ya serikali. Ya CCM.
 
Ngereja yupo mguu nje,lazima watu wajipange kimkakati.Ahhh!! Shigongo walikusahau bro! umekohoa kusaka attention,maandalizi mema !!!!!
 
Inafurahisha pale unapomsikia Mbunge au Waziri wa CCM anasema Eti Lissu ameshindwa "kutetea wananchi wake jimboni..." sasa najiuliza, anatakiwa awatetee dhidi ya nani? Jibu: awatetee dhidi ya serikali. Ya CCM.
Kwamba hata wewe hujui awatete juu ya nani!
Kweli kuwa mfuasi wa Cdm lazima uwe nusu kichwani!
Anaacha kuitetea Tanzania anawatetea Wazungu
Wewe unaona yupo sawa!

Mkapimwe siyo bure
 
Back
Top Bottom