FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Tundu Lissu hana jipya ni opportunist wa kisiasa.
Anarukia kila anachokiona kutafuta "dili".
Halaumiki sana kwa kuwa chama chake hakina sera wala mwelekeo, kila mmoja kivyake.
Sasa hivi chadema kila mmoja anavizia wapi adandie labda kuna dili.
Hizo za kudandia na kupiga dili zilikuwa karata za kina Zitto, wamewahi sasa zimepitwa na wakati.
Amechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

acha kujifanya hamnazo.