Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,543
- 113,712
Mkuu Mohamed Mtoi, japo mimi sii miongoni mwa ma great thinkers wa jf, mada zangu nying, huzipandisha humu nikiwatarget ma great thinkers, as days go by, nimekundua kumbe hao ma great thinkers wa ukweli humu jf, wanahesabika, wengi ni ma ordinary thinkers tuu kama mimi na wewe, ambapo nikiandika ki ordinary kama hivi, wananielewa kwa sababu ndio level za uelewa wao!.Na mimi nimpongeze.....
Kwa mara ya kwanza Pasco kaandika kitu ambacho naona amekiandika akili yake ikiwa haijagusa mvinyo! Big up kaka!
Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
Zile dose za ma great thinkers (kama "kumpigania EL, achaguliwe kuwa mgombea wa CCM, ili rais wa 2015 atoke Kaskazini, na tupate ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania",) zinaendelea, hawa vilaza, majuha wa UVCCM wakiongozwa na yule juha wao mkuu mpiga "vuvuzeli", wasitutibulie sherehe yetu ya ushindi!.
Kufikia 2015, ma ordinary thinkers wengi humu, mtajikuta mmegeuka ma great thinkers!.
Pasco.