Shigela: Chadema waangalie uongozi wa juu

Na mimi nimpongeze.....
Kwa mara ya kwanza Pasco kaandika kitu ambacho naona amekiandika akili yake ikiwa haijagusa mvinyo! Big up kaka!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
Mkuu Mohamed Mtoi, japo mimi sii miongoni mwa ma great thinkers wa jf, mada zangu nying, huzipandisha humu nikiwatarget ma great thinkers, as days go by, nimekundua kumbe hao ma great thinkers wa ukweli humu jf, wanahesabika, wengi ni ma ordinary thinkers tuu kama mimi na wewe, ambapo nikiandika ki ordinary kama hivi, wananielewa kwa sababu ndio level za uelewa wao!.

Zile dose za ma great thinkers (kama "kumpigania EL, achaguliwe kuwa mgombea wa CCM, ili rais wa 2015 atoke Kaskazini, na tupate ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania",) zinaendelea, hawa vilaza, majuha wa UVCCM wakiongozwa na yule juha wao mkuu mpiga "vuvuzeli", wasitutibulie sherehe yetu ya ushindi!.

Kufikia 2015, ma ordinary thinkers wengi humu, mtajikuta mmegeuka ma great thinkers!.

Pasco.
 
Ukiwa ndani ya ccm sera inakuwa ni kuutetea ulaji sasa ukichanganya na akili ndogo za baadhi ya viongozi wa ccm wengi wao inakuwa taaabu kweli kweli.
 
Nimemsikia kwenye ITV, kusema ukweli jamaa ni mweupe sana upstairs na angeficha upumbavu wake kwa kukaa kimya!, ni kwa kuzungumza ndio nimemfahamu ukilaza wake!.

Hoja yake amewataka viongozi wa Chadema wajitathmini bado wako wakifanya nini ili hali kumetokea vifo 4 kwenye mikutano ya Chadema?!, akimaanisha walipaswa kuwa wameshajiuzulu long time ago!.

Kwa kauli hii anamaanisha japo wanaofanya mauaji ni polisi, wanaosababisha mauaji hayo ni viongozi wa Chadema!. Kwa lugha rahisi, huyu juha wa UVCCM amejustfy hii Police brutality na kuutwika uongozi wa Chadema!.

Viongozi wa aina ni ni muhimu sana kwa sababu ndio wanaifanya kazi ya ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania iwe rahisi zaidi!.
very well said mkuu, Kongosho,huyo gamba kasema kitu gani kwenye mfumo wa dini?mfumo gani wa dini?unaweza kutuwekea alichokisema hapa "vebartim"?
 
Last edited by a moderator:
anasema CDM muangalie viongozi wenu kama wako responsible.

Na kaongelea kuangalia mfumo wa dini, ili siasa ziwe za amani, sijamwelewa hapa, msaada tafadhali.
Haka kajamaa kama si kutumia nguvu za giza, hakakustahili hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi!
 
hilo zee lilojifanya kijana nadhani wenzie wanalipumulia kisogoni, ccm kwisha km ndo viongozi wenyewe ndo type ya punga shigella!
 
Shigela hana matatizo yoyote na yuko sahihi, wenye matatizo ni nyinyi mnaotegemea Madomo bwabwaja kama Chemba la mavi, Nape Nnauye, Lusinde, Wasira kama wanaweza wakaongea jambo lolote la maana kwenye zama hizi.
 
Pengine Shigela angesaidia sana kama angeeleza umma kuhusu yafuatayo:

1. Inakuwaje Jeshi la polisi wanakataza mkutano wa (wa ndani) wa chama kimoja cha siasa huko Iringa kwa madai ya uwepo wa sensa, lakini jeshi hilo hilo la polisi linaruhusu mkutano mkubwa (wa hadhara) wa chama kingine ufanyike Bububu? Na hii hiyo imetokea siku moja.

2. CHADEMA wakifanya mkutano bila uwepo wa polisi hata sisimizi haumizwi, lakini mara polisi wanapotekeza mauji yanayotekea!

3. Nini matokeo ya uchunguzi (kama kweli ulifanyika) wa vifo Igunga, Morogoro, Songea na Mbeya?
 
Kuna mwenye maneno aliyoyasema verbatim?Maana mleta hoja hujayaweka hapa vyema mnabaki kuattack personality yake.Wekeni basi hiyo maneno tuchangie inavyotakiwa,wengine hata hatumjui huyo kiumbe.
 
Mkuu Mohamed Mtoi, japo mimi sii miongoni mwa ma great thinkers wa jf, mada zangu nying, huzipandisha humu nikiwatarget ma great thinkers, as days go by, nimekundua kumbe hao ma great thinkers wa ukweli humu jf, wanahesabika, wengi ni ma ordinary thinkers tuu kama mimi na wewe, ambapo nikiandika ki ordinary kama hivi, wananielewa kwa sababu ndio level za uelewa wao!.

Zile dose za ma great thinkers (kama "kumpigania EL, achaguliwe kuwa mgombea wa CCM, ili rais wa 2015 atoke Kaskazini, na tupate ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania",) zinaendelea, hawa vilaza, majuha wa UVCCM wakiongozwa na yule juha wao mkuu mpiga "vuvuzeli", wasitutibulie sherehe yetu ya ushindi!.

Kufikia 2015, ma ordinary thinkers wengi humu, mtajikuta mmegeuka ma great thinkers!.

Pasco.
Mkuu kuna uwezekano wa kuyapata hayo maneno aliyoyasema?natanguliza shukrani.
 
Mkuu Mohamed Mtoi, japo mimi sii miongoni mwa ma great thinkers wa jf, mada zangu nying, huzipandisha humu nikiwatarget ma great thinkers, as days go by, nimekundua kumbe hao ma great thinkers wa ukweli humu jf, wanahesabika, wengi ni ma ordinary thinkers tuu kama mimi na wewe, ambapo nikiandika ki ordinary kama hivi, wananielewa kwa sababu ndio level za uelewa wao!.

Zile dose za ma great thinkers (kama "kumpigania EL, achaguliwe kuwa mgombea wa CCM, ili rais wa 2015 atoke Kaskazini, na tupate ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania",) zinaendelea, hawa vilaza, majuha wa UVCCM wakiongozwa na yule juha wao mkuu mpiga "vuvuzeli", wasitutibulie sherehe yetu ya ushindi!.

Kufikia 2015, ma ordinary thinkers wengi humu, mtajikuta mmegeuka ma great thinkers!.

Pasco.
Ha ha ha!kwahiyo unataka kusema unamsapoti EL ili chadema washinde?sasa hapo yeyote atakayeshinda bado utakuwa una point ya kusema,kwamba nilitaka EL ashinde for so and so reasons,na akishindwa,kwamba ulitaka chadema washinde?haya bana.
 
yani huyu shigela kweli zwazwa!!!!!! Yani kwa jinsi alivyo mpumbavy na mjinga wa kufikiri.mimi hata niwekewe kichwa chake na chips kavu nikaulizwa unachagua nini? Ningekimbilia chips kavu kwa nguvu zote....kuliko kimbilia bichwa maji.

Nimemsikiliza nikahisi kama vile namsoma zomba wa JF! Yaani ccm bila kujielewa wanajiweka wazi kuwa mauaji yanayoendelea ni ya makusudi kwani polisi wanafuata maagizo ili wananchi waone kuwa chadema haifai kutokana na vifo vinavyotokea pakiwa na mikutano yao.
Inawezekana kabisa ni yeye dada.
 
huyu ni kumpuuza 2 na inaonyesha jinsi gani yeye na chama chake wamejipanga kuendelea ku2mia nguvu ya dola ili kuendelea kukilinda chama chao, hana huruma hata kidogo, hakika freedom z near
 
Shegella lazima atumie akili zake,inakueje aseme ati kila mkutano wa chadema watu wanakufa,je chadema wanauwa au ni polisi wanauwa? Acha kutapatapa viongoz wa cdm wamekosa nn?! Tamko la kuuwa si ni tamko la viongoz wa ccm kwa MaRPC na MaODC waliowapa ulaji,shame on you shegella.

Halafu ITV wameshamgundua jamaa ni mweupe, ndio maana wanakimbilia kwake kupata comment.
 
Back
Top Bottom