Shigela: Chadema waangalie uongozi wa juu

anasema CDM muangalie viongozi wenu kama wako responsible.

Na kaongelea kuangalia mfumo wa dini, ili siasa ziwe za amani, sijamwelewa hapa, msaada tafadhali.

Kuna mataahira wangapi wanalabila hovyo majalalani umewaacha utake kumwelewa huyu kisa ana nguo za kijani. Kwa kifupi anaomba viongozi wa dini waseme 'CHADEMA WANALETA FUJO'

Kuna wakati napata mawazo kwamba inalazimu uwe mtu wa ajabu ajabu kimawazo ndio utapata nafasi ya kuongoza CCM. She Girl ni hopeless case
 
Tunawahitaji watu kama SHIGELA ili kuweza kutunza baadhi misamiatia katika kamusi kama vile " msamiati wa kuropoka" bila ya kuwa na watu hawa hii misamiati itapotea
 
Shigela anajisikia raha kuzunguka zunguka kwenye kiti mbele ya waandishi.hana jipya
 
Juzi juha huyu huyu alisema Polisi si wendawazimu warushe risasi kwa mwananchi wakiwaacha magwanda, leo badala awe kimya ili tusahau utumbo wake wa juzi, kaja na upumbavu mpya wa kujitathmini.

Mimi ningemshauri atathmini ubongo wake kama bado unafaa kukaa kichwani kabla haujamletea kansa.

Kama Polisi wa CCM ni makini kama alivyosema juzi kwenye ishu ya Morogoro, leo angetueleza wamewezaje kumuua mwandishi na kumkosa Dr.Slaa.

Hapa ndio huwa nawasikitikia wanandoa, kwa maana kuna mwanamke ameapa mbele ya mungu wake kuwa atamsikiliza mtu mwenye akili hizi na kumuita mume
 
kwani UVCCM, kijana anaishia miaka mingapi??
Kweli CCM imeishiwa wasemaji kiasi hiki??

Kuna mambo mengine hata kama si mshabiki wa siasa inakera sana.
 
Watanzania wameshuhudia na kuona kila kitu kwamba mauaji yote yanafanywa na polisi na hakuna hatua za kisheria zinazochukuliwa dhidi ya wauaji.
 
anasema CDM muangalie viongozi wenu kama wako responsible.

Na kaongelea kuangalia mfumo wa dini, ili siasa ziwe za amani, sijamwelewa hapa, msaada tafadhali.

Msukuma zero wa nguvu na kwa maelezo yake kama nimemsikiliza vizuri basi wana kitu wanachokipanda ili kuleta taswira kwa watu kuwa cdm ni watu wa fujo na ndo wanasababisha haya mauaji. ni plan ya ssm kumbe. na hajui hata kujificha hata kidogo.
 
Sijawahi kuona Kiongozi mpumbavu kama huyu, yaani Mtu asiye na hati anuwawa mbele ya hadhara halafu yeye ananyanyua pua kuhusu CDM, wakati huo haoni hata aibu jinsi Serikali inavyowabeba wao (CCM) kwa kufanya mikutano kama kule Bububu wakati kuna sensa!!
 
Nimemsikia kwenye ITV, kusema ukweli jamaa ni mweupe sana upstairs na angeficha upumbavu wake kwa kukaa kimya!, ni kwa kuzungumza ndio nimemfahamu ukilaza wake!.

Hoja yake amewataka viongozi wa Chadema wajitathmini bado wako wakifanya nini ili hali kumetokea vifo 4 kwenye mikutano ya Chadema?!, akimaanisha walipaswa kuwa wameshajiuzulu long time ago!.

Kwa kauli hii anamaanisha japo wanaofanya mauaji ni polisi, wanaosababisha mauaji hayo ni viongozi wa Chadema!. Kwa lugha rahisi, huyu juha wa UVCCM amejustfy hii Police brutality na kuutwika uongozi wa Chadema!.

Viongozi wa aina ni ni muhimu sana kwa sababu ndio wanaifanya kazi ya ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania iwe rahisi zaidi!.

Nimemsikiliza nikahisi kama vile namsoma zomba wa JF! Yaani ccm bila kujielewa wanajiweka wazi kuwa mauaji yanayoendelea ni ya makusudi kwani polisi wanafuata maagizo ili wananchi waone kuwa chadema haifai kutokana na vifo vinavyotokea pakiwa na mikutano yao.
 
kaka acha unazi wa chama simama kwenye ukweli kwa hali hii ina maana kuwa haya yote yanayotokea nchi hii wewe unakubalian nayo mimi kidoggo nilifikiri ya kuwa watu wanakusema bure kwa maana kuwa wanakuonea lakini leo ndo nimejua kuwa hata nafasi unayoongoza inahitaji kuchunguzwa kama kweli unaowaoongoza zinawatosha yawezekana uvccm ni marehemu ila sisi huku hatujui lakini pia umeprove ya kuwa nje ya ccm hata wazazi wako unaweza ukawasaliti kwa maana ya kuwa uko radhi kusema ya kuwa sina wazazi kama utapewa nafasi ya kusema kuwa kati ya ccm na wazazi wako kipi bora lakini pia kabla ya kusema yote hayo umetizama taarifa ya habari ya leo itv naamini kama utaangalia marudio ndo utaweza kuprove ya kuwa wewe hamnazo na badala ya viongozi wa chadema kujiuzuru wewe ndo unatakiwa siyo tu kujiuzuru bali pia kuacha siasa kabisa kwani siasa zinakokupeleka siyo pazuri hata kama una malengo na ccm hapo baadaye wenzako huwa wanaangalia upepo umekaaje lakini wewe mhhhhhh
kumbe hata kukuita kaka hapo mwanzoni naona kama nilikose naomba kufuta kauli yangu rasmi
 
Nimemsikia kwenye ITV, kusema ukweli jamaa ni mweupe sana upstairs na angeficha upumbavu wake kwa kukaa kimya!, ni kwa kuzungumza ndio nimemfahamu ukilaza wake!.

Hoja yake amewataka viongozi wa Chadema wajitathmini bado wako wakifanya nini ili hali kumetokea vifo 4 kwenye mikutano ya Chadema?!, akimaanisha walipaswa kuwa wameshajiuzulu long time ago!.

Kwa kauli hii anamaanisha japo wanaofanya mauaji ni polisi, wanaosababisha mauaji hayo ni viongozi wa Chadema!. Kwa lugha rahisi, huyu juha wa UVCCM amejustfy hii Police brutality na kuutwika uongozi wa Chadema!.

Viongozi wa aina ni ni muhimu sana kwa sababu ndio wanaifanya kazi ya ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania iwe rahisi zaidi!.

Mkuu Pasco, asante kwa kufunguka, isiwe mara ya mwisho!!!
 
Shigela nae ni miongoni mwa janga kwenye kundi la wazee tofauti yake ni kwamba yeye ni janga zee anae ongoza kakundi ka umoja wa vijana wazee ndani ya uv ccm walio choko na kupoteza mvuto kwenye jamii.

Binafsi namchukulia shigella kama debe lililo elekezewa sehemu ambayo upepo unapita, halita acha kuvuma kisa tu upepo umepita. Ukimsikiliza kwa makini unaona dhahiri jinsi ccm ilivyo choka kwa ndani na jinsi inavyo wategemea vilaza kujinasua kwenye kashfa za kupanga mauwaji.

Poor shigella!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Kwenye jambo serious kama hili bado watu wengine wanaleta upumbavu wao. Kweli CCM haina viongozi.
 
Kosa ni la ITV kuwahoja hata watu wenye akili za kishirikina (wafu). Mtu amevaa mapete mapete vidole vyote, sijui anafuga nyoka? watu wanaolala makaburini ili kupata nguvu za kisiasa ni sawa na maiti. huyu shigera ni mfu wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom