Msdodo
Member
- Apr 12, 2022
- 39
- 48
Duh aiseee wanaume kesho kuna kikao chetu haiwezekani tumechambwa mbaya
Na mkome na siku nyingine
Duh aiseee wanaume kesho kuna kikao chetu haiwezekani tumechambwa mbaya
Wanajifanya wao Wana machine kubwa, wanaweza kwenda hadi bao tano... Mara tulienda vacation na side chick, mara oooh ananipenda lkn simpendi...... Story za vijiweni vinaletwa humu..... Asilimia kubwa ya wanaume wa humu wanamaisha magumu kama magaga ya nyangumi.........ety mwingine anasema yani mie ambae ameishia form 4 na mwingine mwanamke mwembamba simuwez.....kumbe hao wote vibamia mfukoni na mdomoni.... Khaaaaah balaa lipo humu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
hii comment imenichekesha mnoZen sam wan shud givu iti tuha🤣Sam wan nid hadi faki
I will mek shua shi injoiZen sam wan shud givu iti tuha🤣


Kudadadek yaan mim kuja kukupokea na bajaj stend ndo uje kunismanga huku kwel!!!
Hayaa umeshajua naish chumba kimoja' uswahilin ndo uje kunisimanga why!!!!!!
Nilijipma siku ile nikaacha vumbi la zaire nikaishia kota nane!!! ndo uje uanike madhaif yangu huku jukwaan...
Mods please.,....futen uz!!![]()


Fanya hivyo, asilete tena malalamiko ya aina hiyo hukuI will mek shua shi injoi
Ni yeye akubali ombi languFanya hivyo, asilete tena malalamiko ya aina hiyo huku
Hahaa fanya hima asichomoeNi yeye akubali ombi langu
Nikweli mwaya kama ungekuwa karibu ningekupa big BIG UP MY DEAR .Mimi binafsi nina kipato Cha kawaida nina mahusiano na mwanamke ambaye ni mzuri ile mbaya wakati aliomba niishi nae nilikuwa very honestly nikamwambia uhalisia wa maisha yangu na hadi sasa hiv tuna zaidi ya mwaka ninaishi nae sio kila mwanamke anapenda awe na mtu anayefake maisha me nachoona uhalisia wako Unaweza ukafanya demu akupende au upigwe chini lakini ukiwa muwazi inasaidia kujua mapenzi aliyonayo huyo mtu wako kwako
Nani adange wapi kwahela gani mlizonazo?? Shiit mnajiona kama mnazo hamna hata jero yakupandia UBAJF imekua ni chimbo la wanawake wadangaji. 'Dunia kijiji'
HONGERA JAMANI KWA KUKOMENT VIZURI HUO NDIO UKWELI HAWANA HELA FULL STOPWanajifanya wao Wana machine kubwa, wanaweza kwenda hadi bao tano... Mara tulienda vacation na side chick, mara oooh ananipenda lkn simpendi...... Story za vijiweni vinaletwa humu..... Asilimia kubwa ya wanaume wa humu wanamaisha magumu kama magaga ya nyangumi.........ety mwingine anasema yani mie ambae ameishia form 4 na mwingine mwanamke mwembamba simuwez.....kumbe hao wote vibamia mfukoni na mdomoni.... Khaaaaah balaa lipo humu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Wa kukoma ni mleta uzi sio sisiNa mkome na siku nyingine
Na nyie hamna takoHONGERA JAMANI KWA KUKOMENT VIZURI HUO NDIO UKWELI HAWANA HELA FULL STOP