Shida ya wanaume humu ni hii

Shida ya wanaume humu ni hii

Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya tanzania hata ziwa victoria .
Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau .,
Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje sema tu.

Acheni ushoia bwana mwanaume raha mwanaume heshima , humu tumezeeka wote stress hatutaki.
Kama unataka uoe mkenya jua mkenya atakubinya hiyo dudu yako ataikata aile kama soseji.

Walahi wanajf hasa wanaume mnakera , kwanza waongo pili mnajidai mwanamke awe nahekima ipi wakati wewe hujitambui unataka nini.
Unaonekana huwezi inshu tu naumefulia kwa sababu ngekuwa una weza mambo usingekimbia shoo.

Kuna watu humu wanasemaga ukweli tunaandikiana tu nakunyamaza .
Humu wengi hamna nguvu zakiume na hela mnadunduliza mnazo.

Hatuwadharau ila rekebikeni kama umeoa sema nimeoa babe .
Upewe ya kirafiki sio mtoto analia unadai nitakupigia nipo hospitali .
Makelele sana hadi lini.....

Wazungu ndio dili tu humu mmechanganywa na malimbwata .
Kama umeshindwa kusimamia shoo wewe kaa kimya halafu muone haya basii.....
Hata mtoe vifutio jashooo.

We dada hebu kuwa na kifua bas, mambo ya DM yabaki DM, hizo avatar ni picha tu na wala hazitafsiri tabia ya mhusika.
 
Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya tanzania hata ziwa victoria .
Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau .,
Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje sema tu.

Acheni ushoia bwana mwanaume raha mwanaume heshima , humu tumezeeka wote stress hatutaki.
Kama unataka uoe mkenya jua mkenya atakubinya hiyo dudu yako ataikata aile kama soseji.

Walahi wanajf hasa wanaume mnakera , kwanza waongo pili mnajidai mwanamke awe nahekima ipi wakati wewe hujitambui unataka nini.
Unaonekana huwezi inshu tu naumefulia kwa sababu ngekuwa una weza mambo usingekimbia shoo.

Kuna watu humu wanasemaga ukweli tunaandikiana tu nakunyamaza .
Humu wengi hamna nguvu zakiume na hela mnadunduliza mnazo.

Hatuwadharau ila rekebikeni kama umeoa sema nimeoa babe .
Upewe ya kirafiki sio mtoto analia unadai nitakupigia nipo hospitali .
Makelele sana hadi lini.....

Wazungu ndio dili tu humu mmechanganywa na malimbwata .
Kama umeshindwa kusimamia shoo wewe kaa kimya halafu muone haya basii.....
Hata mtoe vifutio jashooo.

hapo nyongo sasa imeisha utakuwa ushatulia. anachoposti mtu hakina uhusiano na uhalisia wa maisha yake. mtu anaweza kuwa mshauri mzuri sana lakin nje ya hapa yupo tofouti na ushauri wake. mwingne unaweza muona mhuni nk lakin huku mtaani n mstaarabu sana
 
Wanajifanya wao Wana machine kubwa, wanaweza kwenda hadi bao tano... Mara tulienda vacation na side chick, mara oooh ananipenda lkn simpendi...... Story za vijiweni vinaletwa humu..... Asilimia kubwa ya wanaume wa humu wanamaisha magumu kama magaga ya nyangumi.........ety mwingine anasema yani mie ambae ameishia form 4 na mwingine mwanamke mwembamba simuwez.....kumbe hao wote vibamia mfukoni na mdomoni.... Khaaaaah balaa lipo humu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Naomba Mechi..!!
 
Nakaziaaaaaaaaaa!!!!
 
Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya tanzania hata ziwa victoria .
Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau .,
Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje sema tu.

Acheni ushoia bwana mwanaume raha mwanaume heshima , humu tumezeeka wote stress hatutaki.
Kama unataka uoe mkenya jua mkenya atakubinya hiyo dudu yako ataikata aile kama soseji.

Walahi wanajf hasa wanaume mnakera , kwanza waongo pili mnajidai mwanamke awe nahekima ipi wakati wewe hujitambui unataka nini.
Unaonekana huwezi inshu tu naumefulia kwa sababu ngekuwa una weza mambo usingekimbia shoo.

Kuna watu humu wanasemaga ukweli tunaandikiana tu nakunyamaza .
Humu wengi hamna nguvu zakiume na hela mnadunduliza mnazo.

Hatuwadharau ila rekebikeni kama umeoa sema nimeoa babe .
Upewe ya kirafiki sio mtoto analia unadai nitakupigia nipo hospitali .
Makelele sana hadi lini.....

Wazungu ndio dili tu humu mmechanganywa na malimbwata .
Kama umeshindwa kusimamia shoo wewe kaa kimya halafu muone haya basii.....
Hata mtoe vifutio jashooo.
Naungana na wewe kwa asilimia nyingi vitu vingi uliovizungumza vina ukweli ndani yake hii ndio jamiiforum sometimes inabidi uvumilie tu si unajua kuna watu hawana lugha nzuri kabisa mamie wasamehe bure kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
 
Wanajifanya wao Wana machine kubwa, wanaweza kwenda hadi bao tano... Mara tulienda vacation na side chick, mara oooh ananipenda lkn simpendi...... Story za vijiweni vinaletwa humu..... Asilimia kubwa ya wanaume wa humu wanamaisha magumu kama magaga ya nyangumi.........ety mwingine anasema yani mie ambae ameishia form 4 na mwingine mwanamke mwembamba simuwez.....kumbe hao wote vibamia mfukoni na mdomoni.... Khaaaaah balaa lipo humu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hili suala la kujifanya una hela nyingi binafsi silipendi Bora ukubali uhalisia wako kuliko kudanganya mwanaume anatakiwa awe really sio fake bidada kwenye Hili nakuunga mkono
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom