Shida ya Elimu Tanzania

Marco Seth

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
4,680
Reaction score
5,653
We Are So Primitive

Mtu asome kitu ambacho kitamsaidia na kumpa ujuzi

Ndio maana Watu wanalalamika Ajira hamna wakati Ilitakiwa upate elimu ambayo itakufanya ujiajiri
Mfano mtu anatoka anakuja kuanzisha kiwanda au kampuni

Ni watu wangapi walivyokuwa wadogo walikuwa wanandoto kubwa ila zimeisha njiani?
Ni wangapi walisema watakuja kuwa mapilot ila sasa hivi wapo mtaani?

Mfano mchukue mtoto wako asomee nje utaona ndoto yake atakaimalisha kiurahisi kuliko huku

Tumeachia mifumo ya kikoloni
Tumebase sana kwenye Theory na mitihani kuliko vitu vya vitendo

Umegundua nini?
Hii hali itakaa hadi miaka mingapi?

Je, wameshindwa hata kuweka kwamba mtu asomee anachokitaka na apate ujuzi na kusave muda
Maana mtu anaweza kuzeekea kwenye kusoma alafu hamna kitu

Nyundo, Stick, Soksi- MADE IN CHINA, Nondo, Betri za saa hadi Nati

HIVI KWELI? Tumeshindwa na sisi

Hayo yote ni Kwa sababu ya mfumo wa elimu usiokuwa na matunda makubwa, Nguvu nyingi zinatumiwa na mavuno ni madogo
Kuna vitu vidogo vidogo tu mtu ajifunze mapema then baadaye apate vitu vya msingi, Sasa shida hivyo hivyo vitu vinawekwa vya kusomwa miaka miiingi

Yani Form 4aAnakuja kuambiwa aunganishe mambo ya meter bridge ambavyo ni vitu vidogo vidogo alf ni vitu vya kizamani sana
Ilitakiwa awe amebuni vitu vikubwa au anatengeneza marobot

Hehe
Wenzio wanatengeneza Marobot, Alf huku mtu anaunganisha umeme kusoma current 🤣🤣 na bado mavifaa mabovu

Alf mseme Elimu bora?
Umegundua nini?
Umeanzisha nn kipya?
Je umetimiza ndoto yako?


 
999A55EC-2194-4CE4-82AD-93A891BE6129.png
 
We Are So Primitive

Mtu asome kitu ambacho kitamsaidia na kumpa ujuzi

Ndio maana Watu wanalalamika Ajira hamna
Ilitakiwa upate elimu ambayo itakufanya ujiajiri
Mfano mtu anatoka anakuja kuanzisha kiwanda au kampuni

Ni watu wangapi walivyokuwa wadogo walikuwa wanandoto kubwa ila zimeisha njiani?
Ni wangapi walisema watakuja kuwa mapilot ila sasa hivi wapo mtaani?

Mfano mchukue mtoto wako asomee nje utaona ndoto yake atakaimalisha kiurahisi kuliko huku

Tumeachia mifumo ya kikoloni
Tumebase sana kwenye Theory na mitihani kuliko vitu vya vitendo

Umegundua nini?
Hii hali itakaa hadi miaka mingapi

Je wameshindwa hata kuweka kwamba mtu asomee anachokitaka na apate ujuzi na kusave muda
Maana mtu anaweza kuzeekea kwenye kusoma alafu hamna kitu


Nyundo. Made in China
Stiki ya meno. Made in China
Soksi. MADE IN CHINA
Nondo. Made in China
Betri za saa. Made in China
Nati Made in China
Mipira ya sponge. Made in China
Taa. Made in China


HIVI KWELI? Tumeshindwa na sisi

Hayo yote ni Kwa sababu ya mfumo wa elimu usiokuwa na matunda makubwa

Nguvu nyingi zinatumiwa na mavuno ni madogo

Kuna vitu vidogo vidogo tu mtu ajifunze mapema then baadaye
Apate vitu vya msingi
Sasa shida hivyo hivyo vitu vinawekwa vya kusomwa miaka miiingi

Yani Form 4
Anakuja kuambiwa aunganishe mambo ya meter bridge
Vitu vidogo vidogo alf ni vitu vya kizamani sana

Ilitakiwa awe amebuni vitu vikubwa au anatengeneza marobot

Hehe
Wenzio wanatengeneza Marobot
Alf huku mtu anaunganisha umeme kusoma current 🤣🤣 na bado mavifaa mabovu

Alf mseme Elimu bora?
Umegundua nini?
Umeanzisha nn kipya?
Je umetimiza ndoto yako?
MKUU UKOLONI MAMBOLEO UNAENDELEA NA UTAENDELEA
WAZUNGU HAWAPO TAYARI KUONA MNAKUWA NA ELIMU YA KUWASAIDIA
KWA UDOGO TU FUATILIA VITA INAYOJITOKEZA KWENYE KUTUMIA KISWAHILI KWENYE ELIMU ZETU NDIO UTAJUA UKOLONI BADO UPO
MITAALA YA KUBUMBA HUKU MASOMO YENYE KUSAIDIA MHITIMU IKIONDOLEWA KUANZIA MSINGI MPAKA VYUO VIKUU
 
Unadhani kuna uwezekano wa kila mtu kujiajiri ? In this day and age ambayo mtu mmoja anaweza kulisha nchi nzima unadhani kuna uwezekano wa kila mtu kujitafutia ajira ? Kwenye dunia ya sasa ambayo congelemerate moja inaweza ikasupply kila kona ya dunia (mfano Amazon) unadhani wewe na corner shop yako ya kuuza vitu unavyonunua rejareja unaweza uka-compete na hawa magiant (au tukimaliza kulaumu Elimu yetu tutaamia kuwalaumu wachina kwamba bei zao ni ndogo)?

Tuache kuwapa leeway watunga Sera inabidi waje na Sera za kuhakikisha majority wanapata ujira sio kuleta visingizio vya kutafuta mchawi.....

 
Hayo yote ni kwa sababu ya elimu ndogo
Elimu ni nini ?


Nachokwambia ni kwamba tusisikilize ngonjera za watunga Sera za kutafuta mchawi


Kuna wadau wangapi wanaingia machimbo kufanya ukulima wanatoka pale hakuna masoko (ni kosa lao walilima au ni kosa lao kwamba hawakupata elimu ya marketing au ni kosa la watunga sera kuhakikisha kuna masoko)

 
Back
Top Bottom