mifumo ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mligo: Tanzania Moja, Serikali Moja, Lakini tuna Mifumo Miwili ya Elimu ambayo inayoumiza Vijana

    Kwa sababu bila kuumiza kichwa zaidi naanza mfano kwenye issue ya elimu ni Tanzania moja ni serikali moja tuna mifumo ya elimu ya aina mbili mtoto wa waziri wa mbunge amesoma English medium mfumo wa kiingereza mtoto wa mama anasoma kwenye shule ya msingi ambao mfumo ni wa kiswahili tunatarajia...
  2. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu ina mfumo mbovu sana kielimu

    Mfumo wa kielimu hapa bongo aise bado tupo nyuma sana. Kuna baadhi ya vitu kwa tulipo Sasa tutaendelea kusikia tu kwa wenzetu. Kuna video nimejaribu kuziona za wenzetu huko nje, wakionesha vifaa vya kivita. Kwa kweli sidhani kama kwa mfumo huu wa kuchora panzi, na kutafuta GPA vyuoni kama...
  3. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Shida ya Elimu Tanzania

    We Are So Primitive Mtu asome kitu ambacho kitamsaidia na kumpa ujuzi Ndio maana Watu wanalalamika Ajira hamna wakati Ilitakiwa upate elimu ambayo itakufanya ujiajiri Mfano mtu anatoka anakuja kuanzisha kiwanda au kampuni Ni watu wangapi walivyokuwa wadogo walikuwa wanandoto kubwa ila...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Serikali Iwalipe fidia wazazi maskini waliosomesha watoto wao kwenye Mifumo mibovu iliyoandaliwa na serikali ni pamoja na kuwapotezea muda

    Baada ya kiongozi kukiri kwamba Mfumo walioundaa wa Elimu ni mbovu alipaswa ajiuuzulu na awajibike kwa masikitiko kwa makubwa Vile vile serikali iwajibike kuchezea rasimali za nchi majengo mikopo ambayo haijulikani italipwaje baada kuzalisha unwanted educated person Kitengo Cha kiongozi kukiri...
Back
Top Bottom