|
| |
|
|
| |
|
shibuda ni mamluki afukuzwe mbona ccm walithubutu kumwondoa akakimbilia chadema kwa nini chadema wanashindwa kuchukua maamuzi magumu.
wewe ni muongo wa kutupwa, CCM hawakumfukuza Rostam Azizi, alijiuzuru kwa hiari yake. Hivyo na Shibuda atajiondokea kwa hiyari yake.tuliwaambia suala la posho halina itikadi sasa huyu ni mbunge wa chadema analilia posho. chadema fukuza huyu kama ccm walivyothubutu kumfukuza Rostam Aziz na kuingia kwenye uchaguzi
Kwahiyo na wewe unawaunga mkono?Mnamwonea tu Shibuda, mh.Selasini wa Rombo naye alisema kabisaaaaaa bungeni kuwa posho ni ndogo sana na wanaopinga wana ajenda zao za siri pia kina Regia na wengine wengi wa CDM posho wanazitaka sana ila wanasemea chini chini. Shibuda ni muwazi.
si kila mtu ana access na unachoona, ni vyema ukapanga hoja na kuleta habari kamili kama wanavyofanya wakubwa zako akina superman, BAK, Ruta nk.
Unakurupuka kama umeumwa na siafu na habari nusu.......... cant you even give a little background umeona nini kilichotokea ili wengine nao waelewe unasema nini??
tunu au zigo?Dah...nimesahau kitu..shibuda ni tunu ya taifa hakuna mwingine kama yeye hio tunu chadema msiitupe.
Huh...!!
yes, nawashauri CDM just to ignore this person na wasonge mbele ya mambo yako, kinachonipa faraja ni kwamba jamaa hana cheo chochote na hatakaa apewe. The guy is confused.Nimemsoma vizuri SHIBUDA sasa hivi. Kujiunga Chadema licha ya ubunge alitarajia kupata nafasi nyingine katika uongozi wa chama kitaifa. Kama mtakumbuka ndoto zake tangu bunge lililotangulia alitaka kugombea urais kumtelemsha Kikwete. Alipogonga mwamba na kuishia kutiwa kapuni huko Maswa kwenye ubunge, tegemeo lake lilikuwa Chadema angeweza kuibuka na kuwa pekee mwenye kauli na hivyo kuwa na tegemeo la kupata nafasi ya uongozi kitaifa na kisha kuteuliwa kugombea urais. Kwa sasa hali inavyoonyesha ndoto hizo zimeyeyuka na kinachoendelea ni kutapatapa kwa mfa maji.
Katika hali ya kushangaza mbunge wa maswa John Shibuda-chadema amewalaani vikali watu wote wanaopinga nyongeza ya posho ya wabunge na kuwafananisha wote hao wanaopinga na madomokaya na wahuni.
Shibuda ameendelea kusema kwamba nyongeza hiyo ni kidogo sana na watanzania waendelee kuiomba serikali iwajali wabunge wake.Shibuda amesema wanaopinga ni wanafiki wakubwa,wasaliti na waropokaji.
Source: Shibuda aliongea na waandishi jana na kunukuliwa na baadhi ya magazeti leo kama Tanzania daima na majira

Kwanini?
Wao c walitaka mbunge?ili wapate RUZUKU
Kati ya watu CDM imechemsha ndo huyu,hivi hata haon huruma ya wananchi wa jimbo lake walivyo na maisha magumu?Shibuda akapimwe akili na apelekwe Mirembe