Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
tuwe serious watanzania tuko millioni 46 chama kina zaidi ya miaka 20 viongozi ni ukoo mmoja tu. watanzania tuone mbali.

Mkuu umenena vyema sana, na nimshukuru sana mbwatukaji mzee wa mafunjo bungeni kukurupuka katika hili swala la zitto, nimejifunza mengi mno dani ya chama nilichokipenda kwa moyo wote.
 
shibuda anaimbaga bobgo flavor nini?kashuka na verse hatari
 
Huyo ataondoka kwa aibu yeye mwenyewe,hafukuzwi asitafute sababu.
 
aksante kwa kuja kuharisha hapa,hata kuandika hujui,shame on you!

 
Mabwabwa wengine bwana, unaambiwa onyesha chanzo ikiwezekana hata picha. hata hivyo Shibuda atuumizi kichwa ni nyoka wa kuchorwa hamtishi mtu.
 
Mfukuzeni badala ya kumtukana. Yeye hajawatukana kawapa za uso.

Aandike barua ya kuacha uanachama aambatanishe na kadi yetu. ltashughulikiwa ndani ya masaa 24. Hakutakuwa na kesi ya kufungua mahakamani kuhangaisha chama.
 
Ni wazi kwamba mwandishi wa hekaya hii ni mtu asiyejua chochote katika nchi hii, wala katiba ya chama, wala mfumo na uundo wa CHADEMA. Hivi kama ni kweli akisemacho huyu mwandishi wa hekaya hizi, tujiulize wafuatao kama ni wakwe wa Mtei
1. Meshak Opulukwa Mbunge wa Meatu
2. David Silinde Mbunge wa Mbozi
3. Vincent Nyerere Mbunge wa Musoma Mjini
4. Suzan Kiwanga Mbunge vITI Maalum Morogoro
Hii ni mifano tu, ya kupanuka kwa Chama hiki kinachoingia ikulu October, Kwa takwimu za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2014, Mkoa ulioongoza kwa Ushindi wa Vijiji, Vitongoji na Mitaa ni Kagera, hasa Jimbo la mama Escrow, Mikoa ya Shinyanga, Simiyu Mbeya na Rukwa imefanya vizuri kuliko Kilimanjaro na Arusha, kuendelea kuandika hekaya za kumtuhumu Mzee Mtei na Kaka Freeman Mbowe ni uvivu wa kufikiri, kuendelea kuwaza yaleyale ambayo yamekuwa yakisemwa na walioshindwa kuongoza nchi hii.
Ikumbukwe Zitto Kabwe wakati anakuwa Mbunge Kigoma Kaskazini, CHADEMA ilikuwa na Madiwani 8, leo anaondoka akiwa na Diwani MMOJA TU.
Nimeanza nitakuja kuendelea.
 
Mfa Maji haachi kutapatapa shibuda nakuonea huruma CCM hawakutaki na Chadema hawakubebi mwaka huu cjui utagombea chama gani jiandae kuadhirika na mkopo wa CRDB cjui utarudishaje Ubunge utausikia tu. Kafie mbali huko.
 
Shibuda kaingia kwenye chama kabla ya kusoma katiba halafu anakilaumu chama?

CHADEMA walivyomfakamia Shibuda ili kwa uroho wa kuongeza wabunge bila ya kuwa na tahadhari ya kuona mbali niliwaambia kwa busara hapa kwamba huyo Shibuda ni timebomb, atakuja kuwalipukia.

Nilipigwa vita kweli na wanachama/washabiki wa CHADEMA hapa, wakaniona nawawekea usiku.

Sasa wanajuta. Amekiwa mwiba usiotaka kutoka mguuni, na mwiba wenyewe mwiba pande, sio mbigiri.
 
 
Zitto na wenzake wananikumbusha jinsi Lucifer alivyodanganyika kwa kulewa sifa bila kujua watatolewa paradiso na Mikaeli

na aliondoka na theluthi ya malaika mbinguni, sijui tutarajie nini kuondoka kwa zitto,kwa mfano ulioutoa
 

Ndio maana Ccm waliona kimeo,sijui kwa nini wananchi wa maswa hawalioni hilo.
 
Aandike barua ya kuacha uanachama aambatanishe na kadi yetu. ltashughulikiwa ndani ya masaa 24. Hakutakuwa na kesi ya kufungua mahakamani kuhangaisha chama.

Zitto aliwaletea barua? au aliwapa za uso kama anavyowapa Shibuda.
 
Wewe FaizaFoxy za uso wapi? Chama kama kakiona haramu sii ajitoe yeye mwenyewe? Hivi FF kama mumeo ana maumbile makubwa na anakuumiza utasubiri akuache au wewe ndio utamuacha?

Mbona Zitto kawapa za uso mmemfukuza, huyu kinawashinda nini?
 
Too low..
Anatafuta cheap popularity, kama chama hakimfai AJIVUE uanachama na aache UBUNGE.. aende panapofaa..kwa logic ya kawaida huwezi kusema chama kibovu then uendelee kuwepo bila kuchukua hatua..hizo ni double standards!
 
Siasa hasa za huku Afrika ni ngumu sana. Yaani mtu kama huyu naye anapenyeza na kuwa mbunge, ugumu zaidi ni pale uwepo wake unapoongeza margin ya viti maalumu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…