Shibuda si riziki CHADEMA

Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Shibuda amechanganyikiwa! Ni wa kupuuzwa kama wapuuzi wengine!

Mkuu Shibuda hajachanganyikiwa kabisa amesema kweli kabisa!

Kwanza ni kweli chadema ni Saccos ndio maana Slaa alipewa mkopo tena bila riba!

Chadema ni chama cha familia ndio maana Mtei alisema hawezi kuruhusu mtu from no where kuwa mwenyekiti!
 
Hivi mtu mwenye akili anaweza kuangaika na shibuda?huyo aliingia bungeni kujenga kambi ya upinzani na kuonheza Ruzuku,na hakuna wa kumfukuza ili hasipate hujiko kuwa alifukuzwa ,atajitoa mwenyewe maana viatu hivyo haviwezi..
 
Hivi inawezekanaje mtu mwenye akili timamu ajiunge na chama cha siasa bila kusoma na kuielewa katiba ya hicho chama? Huyu ana tofauti gani na akina Chifu Mangungo waliokuwa wanasainishwa mikataba ambayo hata kusoma hawajui!!??

Mtunzi wa hii habari alisahau kwamba Shibuda alishasema anaondoka CDM, sasa kuna haja gani ya kumfukuza mtu ambaye ameshasema anaondoka? Ina maana hata yeye Shibuda amesahau aliyosema hadi adai afukuzwe.
 
Tena huyo anaepitapita sasa hivi ngoja achukue fomu ataambulia 15% afadhali dr.slaa. Ila tamaa yake itaigharimu cdm.
 
Chadema wanamuogopa Shibuda.
Walitoa vitisho kwa yoyote atakae hudhulia kikao cha bunge la katiba atafukuzwa lakini Shibuda amehudhulia mwanzo mwisho na kura ya ndiyo amepiga lakini hajafukuzwa.
Chadema ni chama cha kifamilia.
 
Shibuda km kweli amesema hayo Maneno Mimi nitamuita ni Mpumbavu. Hivi niwaulize nyinyi Mambumbu wa CCM na Act , Mtu akienda kwa Jirani akakuta vitu visivyo faa atasubiri kufukuzwa au ataondoka mwenyewe?. Mi Naona Shibuda ni punguani ndio maana ana ngangania pale. Km hapafai Aondoke.
 
asanteni sana viongozi wa jf kwa kuuacha uzi huu ambao ndio uzi unaoshikilia rekodi ya uzi mbovu zaidi tangu kuanza kwa 2015 .
 
Attachments

  • 1426273763466.jpg
    1426273763466.jpg
    60 KB · Views: 154
Shibuda km kweli amesema hayo Maneno Mimi nitamuita ni Mpumbavu. Hivi niwaulize nyinyi Mambumbu wa CCM na Act , Mtu akienda kwa Jirani akakuta vitu visivyo faa atasubiri kufukuzwa au ataondoka mwenyewe?. Mi Naona Shibuda ni punguani ndio maana ana ngangania pale. Km hapafai Aondoke.
japokuwa
chanzo cha uzi huu ni redio assardsyria lakini njia rahisi ya kutimuliwa cdm siyo kuomba afukuzwe , akipeleke chama chake mahakamani aone moto !
 
Mkuu mtu kusema kweli ndio kuwa mfu? Kwani ni uongo hile sio ofisi ya Mtei na mna mlipa mtei?

ccm hawana sera.juzi wamekufa watanzania zaidi ya hamsini kisa ha barabara mbovu baada ya miaka hamsini ya uhuru.huu si upuuzi.?
 
Chadema wanamuogopa Shibuda.
Walitoa vitisho kwa yoyote atakae hudhulia kikao cha bunge la katiba atafukuzwa lakini Shibuda amehudhulia mwanzo mwisho na kura ya ndiyo amepiga lakini hajafukuzwa.
Chadema ni chama cha kifamilia.

Ccm ni chama kinachofuga majambazi
 
Teh Teh kumbe ndio maana hawataki kuondoka kwenye hiyo ofisi kumbe ni ya baba mkwe...hahahaha.
Bavicha chaliiii

Mkuu ukiuliza kodi wanayolipa hapo hakuna anaejua ni siri kubwa ni mhasibu mkuu, mbowe na slaa tu.
 
BAK

Mkuu ulikuwa unajua kama chadema ni chama cha familia?

Teh Teh naona salamu za shibuda umezipokea kwa mikono miwili!
 
Last edited by a moderator:
....familia ya Rutashobolwa, Tibaijuka na Rugemarila, vipi wewe mbona Ruge hakukupa mgao pamoja na kubwabwaja povu hapa kila siku? Mwambie home boy wako akukumbuke kabla bulungutu halijaisha.

Mkuu ulikuwa unajua kama chadema ni chama cha familia?

Teh Teh naona salamu za shibuda umezipokea kwa mikono miwili!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom