Opportunistic kind of decision making kama lengo ni ubunge CDM hapamfai let him go, M/kiti wa CDM alisema CDM hawagawi vyeo wanagawa kazi kama mtu yeyote anataka cheo aende CCM the next day atapewa.Hivi nyie Chadema mbona mnamnyanyasa sana John Shibuda kama mtoto yatima, yaani hawa wachaga wote wanakuchukia wewe, nakushauri Mkuu, Shibuda kaa miaka minne katika ubunge wako, kisha rudi zako chama chako cha zamani CCM, achana na hawa wachaga tena ukikaribia kuama unaitisha mkutano mkubwa unawashitakia ndugu zako wasukuma wa kanda ya ziwa njinsi unavyonyanyaswa na wachaga wa Chadema chama cha ukanda, yaani kama wewe sio mchaga unaonekana una maana.
Chadema, Aika mbee
Pole wewe unawaza ukabila lakini kumbuka ambao hawana imani na Shibuda si wachanga au watu wa kazikazini....Hivi nyie Chadema mbona mnamnyanyasa sana John Shibuda kama mtoto yatima, yaani hawa wachaga wote wanakuchukia wewe, nakushauri Mkuu, Shibuda kaa miaka minne katika ubunge wako, kisha rudi zako chama chako cha zamani CCM, achana na hawa wachaga tena ukikaribia kuama unaitisha mkutano mkubwa unawashitakia ndugu zako wasukuma wa kanda ya ziwa njinsi unavyonyanyaswa na wachaga wa Chadema chama cha ukanda, yaani kama wewe sio mchaga unaonekana una maana.
Chadema, Aika mbee
Hivi nyie Chadema mbona mnamnyanyasa sana John Shibuda kama mtoto yatima, yaani hawa wachaga wote wanakuchukia wewe, nakushauri Mkuu, Shibuda kaa miaka minne katika ubunge wako, kisha rudi zako chama chako cha zamani CCM, achana na hawa wachaga tena ukikaribia kuama unaitisha mkutano mkubwa unawashitakia ndugu zako wasukuma wa kanda ya ziwa njinsi unavyonyanyaswa na wachaga wa Chadema chama cha ukanda, yaani kama wewe sio mchaga unaonekana una maana.
Chadema, Aika mbee
wanaJF
kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) iliyokutana tarehe 30/4/2011 imeamua kumtoa shibuda kwenye nafasi ya kukaimu nafasi ya uenyekiti wa mkoa wa shinyanga, lakini kwnye kikao hicho nusura zichapwe kati ya lema na zitto baada ya lema, kumjia juu zitto ya kuwa mambo yote hayo ya shibuda kayasababisha yeye pale shinyanga kwa kuwaambia baraza la uongozi la mkoa kumteua shibuda kuwa kaimu mwenyekiti wakati katiba ya chama inasema kaimu mwenyekiti anapaswa kutokana na baraza la uongozi la mkoa,
huku shibuda akiwa si mjumbe wa baraza hilo, ndipo aliposimama zitto na kupinga kauli hizo ndipo wabunge na wajumbe wa kamati kuu walipo kuja juu na kumkumbusha zitto juu ya shibuda ya kuwa aliwatukana wabunge na akaambiwa aombe radhi akakataa na mpaka sasa hajaomba kwanini zitto unamtetea huyu jamaa, aliuza mjumbe huyo ambaye ni swahiba wa zitto bwana Msafiri mtemelwa
Kwa ufahamu wangu, kwenye chama kinachopenda kuwa wazi malumbano ni kawaida. Unajua Zitto pia ana mapungufu yake na Lema vile vile, ila kama alivyosema mmoja wa mchangiaji kwenye mada hii..kuna watu CDM wanajiona wao ndo wao mfano wazi ni Zitto. Kwa jinsi tunavyojua watu wa jimboni kwake, leo akitoka na kujiunga na CCM bado watampigia kura mtoto wao ila kwa kifupi ni unafiki. Lema yuko straight kama ilivyo watu wa Kaskazini, leo akisema anaingia CCM asitegemee atapata kijana yoyote anayemwunga mkono kwani tatizo si mtu bali ni CCM ya mafisadi...walete chama kingine au CUF yenye uongozi dhabiti na sera safi watapata kura siyo kwa Kigoma na Zitto wao. Hatutaki unafiki kwenye chama na kama akitaka aondoke hata leo CDM itabaki kuwa chadema na upinzani utabaki kuwa upinzani kwa kukemea maovu ya chama na kuelimisha wananchi.
Pole wewe unawaza ukabila lakini kumbuka ambao hawana imani na Shibuda si wachanga au watu wa kazikazini....
Nimekuwa nikifatilia hii issue ilivyo letwa hapa jamvini lakini kadri inavyoendelea nazidi kuwa na mashaka kama alivyo changia mshindo hapo hasa maelezo ya awali.....
inawezekana Lema na Zitto wametofautiana kweli na sio kitu cha ajabu kwani hata kwenye familia zetu vitu kama hivi vipo sana tu....
lakini nina wasiwasi na mleta mada alivyoileta maana ameileta kiuchonganishi na mimejaribu kupitia thread zake zote alizo wahi kuanzisha ni za lema, hii inaonyesha yuko karibu sana na lema na mabadiko mengi yanaonyesha anamchukia sana Zitto:
1. Shibuda out
2. Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu
3. state house yapanga kumuangamiza lema
4. Lema awasha moto Igunga
5. Lema afunika Nzega
6. Meya feki wa arusha aomba ulinzi wa polisi nyumbani kwake.
7. Meya feki wa arusha aomba ulinzi wa polisi nyumbani kwake.
8. Godbless Lema kuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA
Heri kupoteza jimbo kuliko kupoteza chama.wakati wamempokea kwa mbwembwe waligemea nini....................usitudanganye kuwa hawana imani naye bali kawazidi maarifa ............kama vipi wamfukuze wapoteze jimbo................naona kuna majimbo mawili CDM wanaweza kupoteza..................KGM North na kwa shibuda
Nchi hii hakuna chama bali mikusanyiko ya wasaka tonge tu!! Haya jioneeni. CCM wanaparurana na kuvuana magamba huku CHADEMA wanataka kupigana. Mimi ni mshabiki wa LEMA kama LEMA ila si Chama lakini sasa naanza kujiuliza juu ya ukomavu wake kisiasa manane kauli zake zimekuwa za ngumi mbele!!
Keshaharibiwa huyo ati..
TAARIFA HII SIO YAKWELI, IPO KICHONGANISHI, haya mambo sio rasmi, tuweni makini. Jf itakuwa sasa kibanda cha kahawa!
wanaJF
kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) iliyokutana tarehe 30/4/2011 imeamua kumtoa shibuda kwenye nafasi ya kukaimu nafasi ya uenyekiti wa mkoa wa shinyanga, lakini kwnye kikao hicho nusura zichapwe kati ya lema na zitto baada ya lema, kumjia juu zitto ya kuwa mambo yote hayo ya shibuda kayasababisha yeye pale shinyanga kwa kuwaambia baraza la uongozi la mkoa kumteua shibuda kuwa kaimu mwenyekiti wakati katiba ya chama inasema kaimu mwenyekiti anapaswa kutokana na baraza la uongozi la mkoa,
huku shibuda akiwa si mjumbe wa baraza hilo, ndipo aliposimama zitto na kupinga kauli hizo ndipo wabunge na wajumbe wa kamati kuu walipo kuja juu na kumkumbusha zitto juu ya shibuda ya kuwa aliwatukana wabunge na akaambiwa aombe radhi akakataa na mpaka sasa hajaomba kwanini zitto unamtetea huyu jamaa, aliuza mjumbe huyo ambaye ni swahiba wa zitto bwana Msafiri mtemelwa