Jamani nashindwa kuelewa,jamaa kama kasema ukweli ndio ulivyo,je, kwa nn unampangia maneno ya kuonge,eti asiongee ya ndani yaliyotokea.na mbona hilo la shibuda out umelipokea...je sio la ndani? halafu huyu dogo huyu Lema anamwambia zitto katumwa...hahaaa ni shida kweli kweli na huyu asipokaa sawa mwisho wa siasa zake za upepo uko karibu sana, au na yeye anatumwa na Mbowe? huu ni ulimbukeni tu unamsumbua lema .....na kama watu hawana nidhamu wataambiwa tu,kisa cha zito kumtetea shibda ni haki yake ya upenzi na uwezo wake wa kuona mbali,je mbowe anahofia shibudaa kumng'oa cheo na kukirudisha chama kanda ya ziwa?tusubiri tutaona mengi...mmejaribu kumchafua shibuda magazetini na jf lakini jueni shibua anaheshimika na kukubarika kuliko huyo slaa na mbowe..kwanza hawawezi kuwa marais wa nchi hii,mfanyabiashara na mwizi wa wake za watu....lema umechemka dogo...bado unasafari ndeeefu sanaaa.