Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.
Source: Gazeti Jambo Leo
Hv huyu mzee ni Popo au ndege???? Mi huwaga simuelewagi na hakunaga mnafiki na mganga njaa kama huyu!!.
huyu ni mnafiki!
Ilikuaje alitaka kumng'oa hata kipindi chake hakijaisha ??
amezaliwa na jinsia mbili
Huyu njaa tu anatia aibu sana.
Mimi binafsi niliwahi kukutana nae wakati CCM wamemtema pale Dar City hotel ya paradise na nikaongea nae akiwa anamkandia huyo huyo Rais kwa matusi makubwa tena ya nguoni na kiswahili chake cha kama vile analiwa kisamaki, pia nilikuwa karibu sana na timu ya ITV iliyo muokoa baada ya kutuma muandishi aliyesafiri usiku mzima kwa gari ya kukodi kwenda kum-rescue baada ya CCM na huyo rais kutangaza kwamba amejitoa kwenye ugombeaji siku moja kabla ya uchaguzi na hakuwa na namna yoyote ya kujiokoa if not for ITV, huyu kweli anadhihirisha ya wahenga kwamba msitiri mbuzi binadamu atakuboa.
Anajikomba tu ndio asili yake, hana cha siasa wala nini, ni kujikomba tu na cha kusikitisha sasa wananchi wake hawana mbunge maana hii ni takataka, sasa CHADEMA wamejifunza, hizi takataka ni za kuchoma moto ama kuzichimbia tu ili mahali pawe safi, hivi kwa nini awasakame maaskofu anataka kupata sympathy ya waislamu na kutuzidishia vurugu za kidini, mbona waliposema Kikwete ni chaguo la mungu hakusema, na hicho anachosema serikali imefanya mambo mengi, hebu ayataje ni yepi.
Hafai kabisa huyu; wakati watanzania wanateseka na watu wanaunganisha nguvu kumuokoa mtoto wa kitanzania kwenye udhalimu wa hali ya juu yeye anaendekeza njaa na ubinafsi, hana kazi hana njia yoyote ya kupata kipato isipokua upambe ndio aponee humo, nawaonea huruma watoto wake kwa baba kama huyu
Kufa hafi, yaani yupo yupo tu! nadhani bado anawaza kugombea urais kwa tiketi ya ccm.
CHADEMA wanatakiwa kuchukua uamuzi mgumu kuliko ule wa NCCR
Umetumwa?.Unafikiri kwa kutumia makalio au makanyagio?.Unalipwa kiasi gani kwa kuleta thread za kipumbavu kama hii?.Wewe ni mzee wa umri gani sasa hivi?.Una laana ya wazazi wako inakusumbua kwa kutokuwajali tangu umalize shule.Kumbuka kuwa wazazi ni MUNGU wako wa pili.
Kwa maelezo ya gazeti hili inaonyesha wazi ni wachochezi wakubwa wa Udini nchini..i..Ingawa wanahabari husema kiuandishi - Habari mbaya ndio huitwa nzuri na huuzika!..lakini haya ya kuanza kuchonganisha kanisa na Bakwata ni ushezni wa makusudi kabisa ambao unatakiwa kupigwa marufuku iwe kweli ni Shibuda au hilo gazeti wamechakachua...Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.
Source: Gazeti Jambo Leo
Mbona fisadi Lowasa aliwahi kuichangia BAKWATA, au ulikuwa hujazaliwa?
Angalia ITV sasa hivi uone watanzania wanavyoteseka..!Shibuda wewe ni Shujaa!
Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.
Source: Gazeti Jambo Leo
Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao wakisema Rais amefanya mambo mengi mazuri kwenye kipindi chake cha uongozi.
Source: Gazeti Jambo Leo
DINI zinaingia kupita kiasi kwenye SIASA na kila dini/dhehebu linaingia kwa maslahi yake sio ya Taifa. Shibuda yuko sahihi kwa hili. Tukiliachia hili liendelee hatutakuwa mbali sana na NIGERIA muda si mrefu ujao.