Shibuda: Maaskofu muacheni Rais afanye kazi

Mie mwenyewe nawashangaa sana maaskofu badala ya kukemea ufisadi ndani ya makanisa yao ambapo mafisadi wengi ndimo wanamo tokea na wao kuwakumbatia wanamwandama Rais. Hii yaonyesha maaskofu wana ajenda ya siri kwani kipindi cha BWM hatukuwasikia kabisa. Maaskofu fanyeni kazi yakuwafunza mafisadi ndani ya makanisa yenu waache uovu huo, kwani mafisadi wengi ni wakristo.
Jambo mkuu! Tunaomba utuwekee data za ufisadi katika kanisa tafadhali. Umefanya utafiti wa kina kwamba maaskofu wanapokemea uovu wanabagua watu kwa misingi ya dini? Tupe data za kina kuhusu ajenda yao siri! Kikwete aliposemwa kuwa ni chaguo la Mungu mbona hatukusikia ubishi? Kwa maoni yako hata akiharibu aendelee tu kusujudiwa? Hitimisho lako lingekuwa na utafiti, hiyo hoja yako ingekuwa na mantiki! Lakini hoja hasi zisizokuwa na utafiti wa kina, mara nyingi huwa ni uzushi, udini, umbeya na chuki binafsi. Kuwa mwangalifu kwa kile unachokisema!
 
Huyo mzee ni mnafiki no 1,kumbuka dinner ya Pres na wabunge mwezi nane mwanzoni...yeye alikuwepo na akampokea Pres hapo salama
 
Jambo mkuu! Tunaomba utuwekee data za ufisadi katika kanisa tafadhali. Umefanya utafiti wa kina kwamba maaskofu wanapokemea uovu wanabagua watu kwa misingi ya dini? Tupe data za kina kuhusu ajenda yao siri! Kikwete aliposemwa kuwa ni chaguo la Mungu mbona hatukusikia ubishi? Kwa maoni yako hata akiharibu aendelee tu kusujudiwa? Hitimisho lako lingekuwa na utafiti, hiyo hoja yako ingekuwa na mantiki! Lakini hoja hasi zisizokuwa na utafiti wa kina, mara nyingi huwa ni uzushi, udini, umbeya na chuki binafsi. Kuwa mwangalifu kwa kile unachokisema!

Nakuunga mkono mkuu! Kinacholalamikiwa na wengi including hao maaskofu sio uislamu wa JK bali ni udhaifu wa utendaje wa JK katika yale yampasayo kama mkuu wa kaya! Amekuwa kiongozi legelege na ndo maana nchi imegeuka shamba la bibi, kila mwenye nafasi anajivinjari kwa nafasi yake!
 
Na wao wame play part gani kuhakikisha kwamba mafisadi wanawatenga kwenye makanisa yao? hii inawahusu pia Masheikh
 
Ukristu unaujua wewe? Nani kakwambia kazi ya ukristo ni kuwatenga au kuwafukuza wadhambi makanisani? Ingekuwa hivyo, wewe ungesalimika? Mbona unatazama kibanzi katika jicho la mwenzako wakati wewe mwenyewe una boriti jichoni? Wakati mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kuongea usichokijua!
 
Hv huyu mzee ni Popo au ndege???? Mi huwaga simuelewagi na hakunaga mnafiki na mganga njaa kama huyu!!.

Mie kila nikiona wale malaya wa Jolly namfikiria shibuda, maana ndiye equivalent wao kwenye siasa
 
Mie mwenyewe nawashangaa sana maaskofu badala ya kukemea ufisadi ndani ya makanisa yao ambapo mafisadi wengi ndimo wanamo tokea na wao kuwakumbatia wanamwandama Rais. Hii yaonyesha maaskofu wana ajenda ya siri kwani kipindi cha BWM hatukuwasikia kabisa. Maaskofu fanyeni kazi yakuwafunza mafisadi ndani ya makanisa yenu waache uovu huo, kwani mafisadi wengi ni wakristo.

mafiisadi walio wengi ni waislamu ila kwa kuwa wana Godfather wanaandamwa mafisadi walio na asili ya kanisani
 
Kanisa gani limempatia umaarufu Lowasa? Si lazima kuchangia kama hujui unachotaka kuandika.

Lowasa ameshakiri kuwa yote yaliyofanyika ilikuwa ni amri ya Bwana Mkubwa hakuna jambo lililofanyika nyuma ya mgogo wake. Hivyo ufisadi wa Lowasa ni ufisadi wa jk kazi kwa mashehe
 
Mkuu, usidanganye umma;
-Wakati wa nyerere tulikuwa tunaunga foleni kununua sukari.
-Hali kadhalika kwenye chakula ndo usiseme kuna ule unga wenye rangi ya njaro ndo tulikuwa tunapata.
-Tulikuwa tukivaa zile kata mbuga (viatu vya matairi).
Kwani siku hizi watu hawapangi foleni kwenye mafuta, sukari au kuvaa mitumba hata ya underwear!
 
Ushauri wangu wa bure kwa Mh. Shibuda, maisha si lazima Siasa, anaweza kujaribu Taaluma, Shughuli nyingine.Maana haeleweki anasimamia upande gani, ni bora ungerudi CCM ulipotoka tujue moja unasimamia Ilani ya Chama tawala, CCM

mnaye huyo!! na siku hizi hata mkifukuza uanachama atatesa na ubunge wake kwa msaada wa mahakama kuu kama kafulila!!!
 
Na wao wame play part gani kuhakikisha kwamba mafisadi wanawatenga kwenye makanisa yao? hii inawahusu pia Masheikh

Mkuu wakuu wa maakanisa na hata misikiti hawawezi kuwatenga waumini wao kwa tuhuma za ufisadi ila serikali ina vyombo vya kutanabaisha kama watuhumiwa ni kweli mafisadi au la! Ndo maana kelele yangu na ya wote wenye mapenzi mema na Taifa wanadai vyombo hivyo vifanye kazi yake sawa sawa ili haki ipatikane pande zote, na huo ndo utawala wa sheria!! Wakiufisadi ukristo au uislamu basi viongozi wa dini husika watapaswa kuchukua hatua stahili!
 
Kwa maelezo ya gazeti hili inaonyesha wazi ni wachochezi wakubwa wa Udini nchini..i..Ingawa wanahabari husema kiuandishi - Habari mbaya ndio huitwa nzuri na huuzika!..lakini haya ya kuanza kuchonganisha kanisa na Bakwata ni ushezni wa makusudi kabisa ambao unatakiwa kupigwa marufuku iwe kweli ni Shibuda au hilo gazeti wamechakachua...
Look at how they invest on selling poison!
 
Hv huyu mzee ni Popo au ndege???? Mi huwaga simuelewagi na hakunaga mnafiki na mganga njaa kama huyu!!.

Speaking his mind ndo unaita unafiki? Wanafiki ni wale wanaokosoa huku wakichochewa kufanya hivyo na watu wenye malengo binafsi. In short, men in cloth have become servants of selfish political interests.
 
Shibuda endelea kusema unayoona yanafaa. Vyama ni vessel tu ya kugombea madaraka na isiwe ni kongwa la kukuzuia kutoa dukuduku lako. Achana na hao wanaogeuza vyama kuwa cult!
 
Speaking his mind ndo unaita unafiki? Wanafiki ni wale wanaokosoa huku wakichochewa kufanya hivyo na watu wenye malengo binafsi. In short, men in cloth have become servants of selfish political interests.

Duh! Naona ni Membe Lowasa all the way, every way, everywhere. Sisi tutaendelea kutafuna popcorns tu!!!!!!!!! hahaha ahahaha
 
Mkuu wakuu wa maakanisa na hata misikiti hawawezi kuwatenga waumini wao kwa tuhuma za ufisadi ila serikali ina vyombo vya kutanabaisha kama watuhumiwa ni kweli mafisadi au la! Ndo maana kelele yangu na ya wote wenye mapenzi mema na Taifa wanadai vyombo hivyo vifanye kazi yake sawa sawa ili haki ipatikane pande zote, na huo ndo utawala wa sheria!! Wakiufisadi ukristo au uislamu basi viongozi wa dini husika watapaswa kuchukua hatua stahili!

Huko ni kufinya jukumu la viongozi wa dini. Kazi yao kubwa ni kukemea maovu yote katika jamii. Sasa kama unataka mpaka kuwe na hukumu ya mahakama iliyomtia mtu hatiani ndiyo wakemee basi wewe una makengeza makubwa sana katika uelewa wako wa majukumu ya viongozi wa kidini. Na wale waliotangaza kwamba hawa hawana hatia, wamepata wapi hati inayowasafisha?

Viongozi wetu wa dini wanatenda yale aliyotenda Yuda na huo ndiyo unafiki anaoukemea Shibuda.
 
Back
Top Bottom