Duh mnachekesha sana yaani mnaanza hapa kupiga kampeni kama vile ni wanachama wa CCM.. Kwa nini sijaze majina yenu mahala mkayatuma makao makuu ya CCM ktk kikao chao cha Kamati kuu itasaidia sana..Je, ungependa JMK agombee kipindi cha pili
NDIYO________ HAPANA
Mimi naanza na HAPANA hivyo hadi sasa NDIYO (0) na HAPANA (1)
Nje ya hapo hainusumbi kitu kwa sababu sintampigia kura wala mgombea yoyote wa CCM..Kifupi CCM has to go!..ndio imani yangu.
Hadi sasa hivi kwa michango niliyoiona humu inaonyesha wazi vyama vya upinzani wana kazi ngumu sana...Kumbe maneno ya Nyerere kweli tupu!.. mzee marehemu Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi..Amin!