mwakatojofu
Senior Member
- Dec 17, 2008
- 199
- 3
FMES,
watu wengi na mara nyingi husema ndani ya ccm na serikali mambo mengi yako ovyo. wenyewe humo wako kimya. vyama vya upinzan na watu wa kawaida/chini kila siku tunapiga makelele lakin wapi! no changes!
akitokea msekwa akasema ni kweli tunavyoona sie tumzomee? akitokea kitine akisema kweli mle ndani mko ovyo kwa nin tumzomee? wakisema hivyo wanatuunga mkono. japo kwa muda. lakin inatuhakikishia kuwa hatuko wrong
wakipata wakitakacho wanatumwaga tena. kimya. wanakosa ujasiri
lakin tunakuwa tumeshajua kuwa tuko sahih tunachopigania kila siku. kwamba tunachopigania ni haki tupu. kwamba tunachosema si majungu. kwamba tunasema ukweli tupu. mojawapo ya faida za hali kama hii ni kuwa inatupa nguvu kuendelea na tukifanyacho. huenda pia inaweza kutusaidia kujua tusichokijua. 'inside job?' mtu wa ndani anapodefekt inasaidia sana 'adui'
hata makamba akimwagwa mwache aje na shutuma kwa ccm. atatupa dondoo kadhaa. halaf atatupwa ubalozini. halaf kimya tena
one day YES tutapata wapiganaji wa kweli