Wanabodi..
John Shibuda ni miongoni wa wabunge wa Chadema ambao anatengwa na wenzake.
Inasikitisha sana kuona Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu, Slaa, kumtenga kwa kutomshirikisha katika shughuli zozote za chama zikiwemo za kampeni.
Miongoni mwa shughuli kadhaa za kisiasa viongozi wakuu wamefanya bila kumshirikisha tangu awe mbunge ni pamoja kutomshirisha katika kampeni Igunga.
Walimtenga kwenye msafara waliokwenda kumuona Rais Kikwete Ikulu, na kutomshirikisha katika msiba wa mbunge mwenzake Regia Mtema.
Mwaka 2010 Shibuda alichangia kwa kiasi kikubwa Chadema kuzoa karibu majimbo 10 kanda ziwa, kusema ukweli huyu hapaswi kuwa mwanasiasa wa kupuuzwa kiasi hiki.
Chadema wana majimbo Maswa Mashariki na Magharibi, wana Bukombe, Meatu, Ilemela, Nyamagana, na Ukwerewe hata jimbo la Musoma mjini linatokana na nguvu yake na ushawishi mkubwa aliyekuwa nao kanda ya ziwa.
Mkoa wa Shinyanga ambao Shibunda anatoka una wabunge wanne wa Chadema, ambao kimsingi walipatikana kutokana ushawishi wake.
Shibuda akipewa nafasi ya kuongea ni hatari mno. Anapanga maneno kwa kutumia kiswahili cha pwani ambacho kimenyoooka vyema na ana uwezo wa kushawishi. Nadhani ni mbunge pekee kwa CDM aliyetumia muda mfupi sana kupiga kampeni na kushinda.
Tatizo lake kwa CDM ni kwamba ni mkweli. Wakati wenzake wantaka jamii iamini kuwa hawataki posho za vikao huku mioyo yao ikipambwa na maua wakati wa kuchukua posho, yeye akasema hadharani kwamba anazitaka na anataka ziongezwe. Basi kwa kusema ukweli wake wa moyoni Mzee wa Ujira akaonekana adui.

sasa kumbe unajua kosa lake kwanini asitengwe kwa usaliti huo?Kosa kubwa la Shibuda ndani ya Chadema ni msimamo wake kukataa kumsusia Rais Kikwete wakati alilizindua bunge la sasa mjini Dodoma. Na sakata la posho.
Kosa kubwa la Shibuda ndani ya Chadema ni msimamo wake kukataa kumsusia Rais Kikwete wakati alilizindua bunge la sasa mjini Dodoma. Na sakata la posho.
Shibuda akipewa nafasi ya kuongea ni hatari mno. Anapanga maneno kwa kutumia kiswahili cha pwani ambacho kimenyoooka vyema na ana uwezo wa kushawishi. Nadhani ni mbunge pekee kwa CDM aliyetumia muda mfupi sana kupiga kampeni na kushinda.
Tatizo lake kwa CDM ni kwamba ni mkweli. Wakati wenzake wantaka jamii iamini kuwa hawataki posho za vikao huku mioyo yao ikipambwa na maua wakati wa kuchukua posho, yeye akasema hadharani kwamba anazitaka na anataka ziongezwe. Basi kwa kusema ukweli wake wa moyoni Mzee wa Ujira akaonekana adui.
Wewe moungo kabisa......msibani tulikuwa naye.....na ni mgonjwa wa shingo sasa utampaje shughuli za mikikimikiki?
sasa kumbe unajua kosa lake kwanini asitengwe kwa usaliti huo?
Mkuu Kimbunga,
Wanakosea sana kumtenga Shibuda, Mbowe aligoma kabisa kufanya kazi za kibunge na Shibuda, hivi kweli wizara kivuli 20 zilizopo hata moja wameshindwa kumpa Shibuda, wamewapa wabunge wengine hata uwezo hawana, mpaka kuna waziri kivuli mmoja wa Chadema aliachia ngazi kutokana na uwezo wake mdogo.
Mkuu Kimbunga,
Wanakosea sana kumtenga Shibuda, Mbowe aligoma kabisa kufanya kazi za kibunge na Shibuda, hivi kweli wizara kivuli 20 zilizopo hata moja wameshindwa kumpa Shibuda, wamewapa wabunge wengine hata uwezo hawana, mpaka kuna waziri kivuli mmoja wa Chadema aliachia ngazi kutokana na uwezo wake mdogo.
Wanabodi..
John Shibuda ni miongoni wa wabunge wa Chadema ambao anatengwa na wenzake.
Inasikitisha sana kuona Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu, Slaa, kumtenga kwa kutomshirikisha katika shughuli zozote za chama zikiwemo za kampeni.
Miongoni mwa shughuli kadhaa za kisiasa viongozi wakuu wamefanya bila kumshirikisha tangu awe mbunge ni pamoja kutomshirisha katika kampeni Igunga.
Walimtenga kwenye msafara waliokwenda kumuona Rais Kikwete Ikulu, na kutomshirikisha katika msiba wa mbunge mwenzake Regia Mtema.
Mwaka 2010 Shibuda alichangia kwa kiasi kikubwa Chadema kuzoa karibu majimbo 10 kanda ziwa, kusema ukweli huyu hapaswi kuwa mwanasiasa wa kupuuzwa kiasi hiki.
Chadema wana majimbo Maswa Mashariki na Magharibi, wana Bukombe, Meatu, Ilemela, Nyamagana, na Ukwerewe hata jimbo la Musoma mjini linatokana na nguvu yake na ushawishi mkubwa aliyekuwa nao kanda ya ziwa.
Mkoa wa Shinyanga ambao Shibunda anatoka una wabunge wanne wa Chadema, ambao kimsingi walipatikana kutokana ushawishi wake.
Ninachoweza kukwambia ambacho Watanzania wanapaswa kukijua kuhusu Shibuda na Chadema, ni nguvu ya siasa ya Shibuda.
Nguvu hiyo inawatisha viongozi wa Chadema wanajua umhimu wake kisiasa katika kanda ya ziwa.
Na hiyo ndio inayompa jeuri na kibuli Shibuda kuwadharau, na wenyewe wanajua kwamba anawadharau sana, kumfukuza kama wengine hawawezi.
Wakifanya hivyo ndio utakuwa mwisho wa Chadema katika mikoa yote ya kanda ya ziwa.