Anna Deo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 564
- 273
Ninachoweza kukwambia ambacho Watanzania wanapaswa kukijua kuhusu Shibuda na Chadema, ni nguvu ya siasa ya Shibuda.
Nguvu hiyo inawatisha viongozi wa Chadema wanajua umhimu wake kisiasa katika kanda ya ziwa.
Na hiyo ndio inayompa jeuri na kibuli Shibuda kuwadharau, na wenyewe wanajua kwamba anawadharau sana, kumfukuza kama wengine hawawezi.
Wakifanya hivyo ndio utakuwa mwisho wa Chadema katika mikoa yote ya kanda ya ziwa.
bila shaka wewe ni Nape mosses nyauye,coz the same words uliwahi toa mahala fulani.bana eee wewe hamia airtel unapoteza mda huko uliko