Daaaa, jamaa heri aanze vita kati yake mwenyewe na minuso ya bure.
Anaweza hata kuacha msiba nyumbani kwake na kwenda kwenye minuso ya Magambaz....
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Shibuda amgwaya JK [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]
Send to a friend [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Wednesday, 16 June 2010 09:11 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 0digg
Habel Chidawali,Dodoma
HATIMAYE mbunge wa Maswa, John Shibuda hatapambana na mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete kwenye kinyang'anyiro cha urais kwa tiketi ya CCM baada ya kutamba kwa muda mrefu kuwa hakuna atakayemzuia kutekeleza azma yake.
Sitaki kuwa kama maji ya kuzimuni yasiyokata kiu ya malaika hivyo niendeleze kuzurura ovyo na fikra za wana-CCM za je, Shibuda atagombea kiti cha urais na anampinga Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete, alisema Shibuda ambaye ni mwingi wa misemo anapofafanua jambo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]