Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

Kama nyie CDM mna jeuri kweli jaribuni kumfukuza Mpambanaji John Shibuda mmuone, Wasukuma wamewasaidia sana nyie CDM ndio a loser Dr Slaa alipata kura nyingi kuzidi kwenu Kaskazini, leo mnamtukana Msukuma mwenzao Shibuda, Mkuu, Shibuda, kaongee na baraza la wazee wa Kisukuma wa kanda ya ziwa kawaeleze yote usifiche kitu wamezoa sana hawa

Kwani CHADEMA msukuma ni yeye tu....Sheikh Makani yupo muda mrefu...hoja yako dhaifu sana
 
Kutohudhuria vikao vya wabunge wenzake (km hoja ni kwamba hakuwemo kikaoni) wa chama ni kosa pia.na angeweza kuwasilisha mchango kwa njia ya maandishi..! na kama anafuata demokrasia kweli basi pia angefuata hata collective responsibility ambayo wabunge wengi walitoa msimamo wa pamoja katika kikao rasmi..! ameshindwa kutimiza wajibu wake katika Vikao rasmi anabwabwaja nje! hafai..afukuzwe!..

Collective responsibility????????? Mbona tunakuwa wasahaulivu kwa kipindi kidogo? Mtindo huu sio tuliokuwa na hadi sasa tunaupigia vita kwa wabunge wa CCM? Kwa CDM ni halali bali kwa CCM ni haramu?
 
wewew ni mchovu tu tunakufahamu,hao wazee wa kisukums na mipasho ya kizaramo wapi na wapi?kama ni vijana ndani ya cdm wanao wa kutosha.
umezoea mipasho ya kwenu na hiyo mipasho ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo .
chadema ni kiboko yenu na vibaraka mnaojaribu kuwaingiza humo watatemwa na mfumo chadema.
habari ndio hiyo.

CDM haina ubavu wa kufanya hivyo kwa Shibuda au mbunge mwengine wa kuchaguliwa hasa kwa ishu hii ya POSHO.
 
Mimi namwopnea huruma kwasababu tumesha anza mikakati ya kumtoa uanachama, hatuwezi kukaa na mtu asiye na mawazo chanya kwa watanzania
 
Wewe ni mgonjwa wa akili kama Shibuda!!
Tatizo Pro-CDM-JF, wengi wao ni Brain Fag! Jaribuni kubadirika sio kila jambo atakalosema Mbowe wote mnakubali tu lazima muwe Breadth, huu ni ushauri nawapa nyie Pro-CDM
 
Kama nyie CDM mna jeuri kweli jaribuni kumfukuza Mpambanaji John Shibuda mmuone, Wasukuma wamewasaidia sana nyie CDM ndio a loser Dr Slaa alipata kura nyingi kuzidi kwenu Kaskazini, leo mnamtukana Msukuma mwenzao Shibuda, Mkuu, Shibuda, kaongee na baraza la wazee wa Kisukuma wa kanda ya ziwa kawaeleze yote usifiche kitu wamezoa sana hawa
daka kohozi langu katupe njee nipo bize tafadhali
 
Mimi namwopnea huruma kwasababu tumesha anza mikakati ya kumtoa uanachama, hatuwezi kukaa na mtu asiye na mawazo chanya kwa watanzania

Fanyeni hivyo lakini CCM watakusaidieni kumwacha ndani ya Bunge ili Kambi rasmi isiharibike.
 
Tatizo si Shibuda bali tatizo ni CHADEMA. CHADEMA ilikurupuka kubeba kila kilichoachwa na CCM. Ndio iliwasaidia kupata viti vya Bunge lakini hii ndio gharama yake kwani kitu cha kuokoteza hakiwezi kuwa na msimamo mmoja.
Angalia sasa jinsi Lema anavyowayumbisha. Hivyo kipi kinachotangulia kati ya uongozi wa juu au mwanachama mmoja mmoja? Baada ya muafaka wa Arusha viongozi wa juu walinyamaza kimya lakini Lema akatokeza na baada ya siku nnee eti Katibu Mkuu anatokeza na kutowa kauli ya Chama kwa kufuata matakwa ya mtu mmoja. CHADEMA haina budi kuvuna ilichokipanda na huu ni mwanzo tu iwapo Chama hakina Kiongozi mwenye kutowa uamuzi wa Kichama.

This is a keen observation.
CDM inabidi ijitazame hasa ofisi ya Katibu Mkuu wake kama maamuzi yote yanayotolewa yanaendana na ilani yenu au msimamo endelevu.
It takes kichaa mmoja mwenye guts to call your bluff.
Lema amefanya hivyo Arusha, na sasa Shibuda ana point hapo.
Ilishasemwa mara nyingi kuwa chama cha upinzani haina maana unapinga kila kitu, wakati mwingine lazima kuelewa kuwa politics also means finding some common ground and accommodation without giving away your basic principles.
It will be interesting kuona ni vipi uongozi wa CDM utajinasua katika matatizo haya ambayo si rahisi kuyarushia "magamba" kuwa ndio kiini.
 
Na atajuta kuhamia chadema lazima ajue chadema ina serikali yake na bara za la mawaziri kama yeye ayupo ndio alete ujinga akapeleke serikali ya ccm ..kwanza halmasha mnachelewa sana mpeni ban maisha huyu asikie kwenye redio kuna bunge la jamhuri ya chadema 2015
 
kilanga pamoja na rev kishoka waliwaasa viongozi wa chadema juu ya kuja kwa huyu jamaa........hawakusikia...walipiga sana kelele....dada kilanga ndo kabisaa aliongea kweli...hawakumsikiliza......hahahah


Walikuwa hawana mtaji hivyo walilazimika kumkubali wakijuwa kuwa yeye ni mtaji.
 
daka kohozi langu katupe njee nipo bize tafadhali
Dada yangu Marytina najua wewe mmoja kati ya kina dada wa (Bawacha) ulikuwa mtu muhimu sana kwenda Ujerumani kujifunza Maadili ya Kikiristo chini ya chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU, ungerudi Tanzania umeshiba Maadili
 
Mimi namwopnea huruma kwasababu tumesha anza mikakati ya kumtoa uanachama, hatuwezi kukaa na mtu asiye na mawazo chanya kwa watanzania
 
Kwani Katiba inasemaje juu ya wabunge wa upendeleo pale unapopunguza wabunge wa kuchaguliwa? Mnafikiri Shibuda hana akili?

Kama sijakosea, huwa idadi inakalkyuletiwa kutokana na kura za urais, na Mbunge akishaapishwa ni mpaka muda uishe au atemwe na chama chake au umauti umkute.

Hi inamaana kama Shibuda akitimuliwa, hakuna kitachobadilika kwenye Wabunge wa Upendeleo wala Ruzuku.

Vile vile, akitimuliwa itatoa fursa kwa CDM wengine kujaza hicho kiti.
 
ritz anafanana na avatar yake.
ila anapaswa kujua kinachohojiwa si ukabilla ila ni matumizi yasiyo ya lazima ya serikari.
Wabunge wanalipwa mara mbili kwa kazi moja.
Shibuda ni mwehu kabisa ila tu anavaa nguo.
 
Tatizo si Shibuda bali tatizo ni CHADEMA. CHADEMA ilikurupuka kubeba kila kilichoachwa na CCM. Ndio iliwasaidia kupata viti vya Bunge lakini hii ndio gharama yake kwani kitu cha kuokoteza hakiwezi kuwa na msimamo mmoja. Angalia sasa jinsi Lema anavyowayumbisha. Hivyo kipi kinachotangulia kati ya uongozi wa juu au mwanachama mmoja mmoja? Baada ya muafaka wa Arusha viongozi wa juu walinyamaza kimya lakini Lema akatokeza na baada ya siku nnee eti Katibu Mkuu anatokeza na kutowa kauli ya Chama kwa kufuata matakwa ya mtu mmoja. CHADEMA haina budi kuvuna ilichokipanda na huu ni mwanzo tu iwapo Chama hakina Kiongozi mwenye kutowa uamuzi wa Kichama.
Hapana mkuu, tatizo ni Shibuda, mbona professa Kahigi alikuwa ccm, na ameingia CDM kashinda ubunge na hata kama anatofauti na chama haropoki hadharani kama huyu shibuda?
 
Huyu shibuda akifutwa uanachama litakuwa fundisho kwa wengine....anachofanya Shibuda ni kupingana na ilani ya chama,huu ni sawa na uhaini kwa chama
 
Back
Top Bottom