Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

S-ibuda ni mwanasiasa Mshamba,limbukeni na hana Dira ya siasa hata chembe ya haradali.Kwa ufupi katika mwanasiasa naemchukia wakwanza ni hili lijibaba.
 
Sijaona kibaya alichosema Shibuda. Tumegubikwa na tabia mbaya ya hisia zetu kwa aliyesema maneno badala ya kuyaangalia maneno yaliyosemwa.

Mkuu kamanda habari za hapo Mbeya? Vipi ww na yle dada yenu bado tu mna hasira na Heche?
 
Please CHADEMA,remove this man from your party,he is of no help.I think this man was planted so as to bring confusion in the party,but unfortunately he has come to understand that,the job he was given is bigger than what he could chew!.

Sure, he is! Muhimu asipewe madaraka atawavuruga
 
Hivi katika majimbo yote wanayojisifia cdm sijui 28 waliotoa wabunge na lile la Kamanda Shibuda wanalihesabu? Sipati picha M4C ikipita pande hizo za maswa huku zikiwa engineered na Kamanda Shibuda na akina Heche.
 
kwa mtu mwenye akili hawezi kumtukana shibuda mana huongea kwa akili kubwa sana,huw hamtaji mtu,maneno yake yamejaa busara na utani,usipokuwa makini kama una jazba lazima ulie.
Wewe unayejiita "Rais wa tano" ndo Shibuda?Maana hata ccm alijiondoa kwa kunyimwa kugombea urais aliposema atapambana na JK na wakati akijuwa magamba wenzake hawatampinga JK kugombea mara ya pili,tamaa bin tamaa.
 
Hivi chadomo mmelogwa, mkiambiwa ukweli mnatoka povu ile mbaya. Keepitup shibuda.
 
Hahahaha kitu cha bara kilicholewea Pwani...full mipasho!
 
Nimesoma na kurudia rudia hiyo habari,sijaona baya alilosema Shibuda kiasi cha kushambuliwa namna hii!
 
Jifurahishe kidogo na habari za huyu mwenzetu! John Shibuda

Mo Blog: Shibuda umekuwa mwanasiasa kwa siku nyingi nini rai yako kwa viongozi wenzio wa kiasiasa.?
Shibuda: Napenda kutoa rai kwa vyama na viongozi wa kisiasa ambavyo viko karibu 21 hapa Tanzania, la kwanza kila chama kijifanyie tathmini, kinawajibika vipi kutekeleza mipango ya kuendeleza amani na utulivu katika hii nchi.
Vinatekeleza mipango gani? Na kila chama kifanye tathmini kijiulize mambo gani ambayo ni makosa kwa ustawi na maendeleo ya nchi yetu inaoongozwa na kulindwa na tabia, mila na desturi za Mtanzania.
Vyama vya siasa viwe na wito unaoitwa ‘kwa maslahi ya umma’ na viongozi pia watekeleze wito unaoitwa kwa maslahi ya umma.

Mo Blog: Kwani una shaka na baadhi ya vyama?
Shibuda: Vyama ambavyo vina mdudu shetani anayeitwa ibilisi wa kujenga tafrani, migongano, misuguano au vyama vinavyoitwa ‘chama kampuni’ kwa maslahi binafsi, havistahiki kuwa sehemu moja wapo ya mbegu ya kuzalisha amani.
Hivyo watanzania tutafakari, tusemezane, tutazame viwango vya kila chama, katika vyama 21 kwamba je? Tija ya kila chama ni kwa kujenga ustawi na maendeleokwa jamii? Ili mwaka kesho tusherehekee tena siku ya amani duniani. Kusoma zaidi mahojiano yote ingia

Source: Mo Blog

Chadema ni chama kampuni maslahi binafsi ndio maana kina wakurugezi pale makao makuu wakati vyama maslahi umma vina makatibu makao makuu yao.
 
Jifurahishe kidogo na habari za huyu mwenzetu! John Shibuda

Mo Blog: Shibuda umekuwa mwanasiasa kwa siku nyingi nini rai yako kwa viongozi wenzio wa kiasiasa.?
Shibuda: Napenda kutoa rai kwa vyama na viongozi wa kisiasa ambavyo viko karibu 21 hapa Tanzania, la kwanza kila chama kijifanyie tathmini, kinawajibika vipi kutekeleza mipango ya kuendeleza amani na utulivu katika hii nchi.
Vinatekeleza mipango gani? Na kila chama kifanye tathmini kijiulize mambo gani ambayo ni makosa kwa ustawi na maendeleo ya nchi yetu inaoongozwa na kulindwa na tabia, mila na desturi za Mtanzania.
Vyama vya siasa viwe na wito unaoitwa ‘kwa maslahi ya umma’ na viongozi pia watekeleze wito unaoitwa kwa maslahi ya umma.

Mo Blog: Kwani una shaka na baadhi ya vyama?
Shibuda: Vyama ambavyo vina mdudu shetani anayeitwa ibilisi wa kujenga tafrani, migongano, misuguano au vyama vinavyoitwa ‘chama kampuni’ kwa maslahi binafsi, havistahiki kuwa sehemu moja wapo ya mbegu ya kuzalisha amani.
Hivyo watanzania tutafakari, tusemezane, tutazame viwango vya kila chama, katika vyama 21 kwamba je? Tija ya kila chama ni kwa kujenga ustawi na maendeleokwa jamii? Ili mwaka kesho tusherehekee tena siku ya amani duniani. Kusoma zaidi mahojiano yote ingia

Source: Mo Blog

A political prostitute at work, thinking through his big belly!
 
Back
Top Bottom