Uongozi ni kuchukuwa hatua na si kubwabwaja,huyo ni mropokaji asiyeushirikisha ubongo wake.
Achukue hatua aanze mbele arudi alikotoka.Anataka kurudi huko lakini kwa kutumia mbinu na mgongo ule ule alioutumia kuondoka huko alikotoka,yani majungu,unafiki,umimi,kupenda madaraka na kuwabwabwaja.
Mfa maji haachi kutapatapa,chadema wamwache ajizamie zake maana wakijidai kumgusa watazama naye.Yuko kimaslahi binafsi kama huko alikotokea,yani its about him na si vinginevyo.
Hayo aliyoyasema siyo wimbo mpya,lingekuwa jipya ambalo ameingia kwenye chama akaligunduwa,then ingemake sense,sasa kuitumia chorus ile ile iliyotumika kabla hajafika kwenye chama,utaona hana jipya na ameishiwa nyimbo, bali anataka kuride kwenye umaarufu wa chadema ili ajijenge yeye binafsi,hakuna lolote la mwananchi hapo.
Cha kushangaza,neno wananchi analitumia wakati wa kuomba kura tu,lakimi mwulize kawafanyia nini hao waliomchaguwa,nothing!
Tanzania inaangamia kwa wananchi wake kukosa maarifa ya kutambuwa nani ni kiongozi wa kweli na nani mbwakoko wa kisiasa.