Sheria ya Talaka TZ ilegezwe au isilegezwe?

MK mimi nadhan suala la kuwa na sababu ndio muachane ni la msingi sana kwa sababu katika hali ya ubinadamu, ugreed wetu na mahusiano ya sasa ni wazi hiyo no faulty divorce itachochea talaka bila mpango na kuongeza mateso kwa watoto! Fikiria mtu kachopoka katest nyumba ndogo kanogewa anatamani kuchukua jumla na ndoa haimruhusu,... Si ataendafile tu divorce na kudhulumu mwenzie haki ya kupenda?
 
tunashukru kwa kutujuza lakini kweli mimi naona sheria zetu tuzirekebishe lakini tukiangalia na mitazamo ya watu wengi hasa vijana wanapenda sana kuachana achana na bila sababu za msingi pengine mke ameunguza mbonga wanataka kuacha
 
Back
Top Bottom