Sheria ya salamu ya "Shikamoo"

Kama ni wazee wafuate tu, jishushe. Kikubwa zaidi msome unayemsalimia yeye ni wa namna gani, kama ni wa kumpungia mkono kwa mbali mpungie tu. Kama ni wa kumfuata jongea kwake.
 
Yeah niko tanga na hiki usemacho huku ndio utamadun kiasi nimezoea,sasa wengine ukiwaambia hiyo salam wanakuona unewadharau wanataka shikamoo wakat haina mana
Tamko "shikamoo" halileti dhambi wala thawabu ni utamaduni uliyojengeka katika sisi miongoni mwa wanajamii, kwa wengine lina maana kwa wengine halina maana. Ndivyo jamii ilivyo, cha msingi ni kutambua mahala husika.

Samahani kama nimekukwaza. Siku njema.
 
Sidhani kama umeelewa ulochonikwot! Relax sjakwazika.
 
Siku Rais Magufuli akiwa Morogoro akampigia Dr. Kitila Mkumbo kwa simu huku tukisikia mazungumzo kwenye loud speakers, nakumbuka Mkumbo alimuamkia shikamoo, kuna maswali mengi nilijiuliza toka siku ile.

Nitarudi baadae kujiekezea zaidi.

Majadiliano ya namna hii ni muhimu sana kwenye jamii zetu, tusiyabeze.
 
Teh teh teh. Mkuu hilo la kuamkua shemeji yako mdogo lina ukakasi.

Sasa nikuulize, sazingine wanaume huwa tunajitupa tu bila kuangalia urefu wa shimo, kwamba vyovyote itavokuwa!

Sasa unakatokea kasichana moja matata sana, kana sifa unazozitaka wewe awenazo mwanamke.

Unaka'fall in love' na kukachumbia mazima, ni katoto yatima kanaishi kwa baba yake mdogo.

Huyo bamdogo, ambaye ndiyo mkweo mtarajiwa analingana makamo na mwanao wa kwanza.
Shikamoo hutatoa hutoi! Ninakuuliza, utatoa hutoi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paku hama hapo!!!! utakuta nyumba nyingine ndio balaa kabisa akina mama walio na umri mchanganyiko, wanapiga soga mlangoni mwako kelele vicheko na vijembe!! kwenda chooni hapaendeki ndio karibu na walipoweka kijiwe!!! ukisalimia ndio unabadilika kuwa topic ya mjadala ukiuchuna ndio balaa!!!! uswahili ni kazi
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] et matenga ya nyanya....daaahh kweli kila sehemu na taratibu zake....sasa ndo kama unawahi basi stendi ndo linakupigia honi itakuaje hizo salam mpka uzimalize!
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] et matenga ya nyanya....daaahh kweli kila sehemu na taratibu zake....sasa ndo kama unawahi basi stendi ndo linakupigia honi itakuaje hizo salam mpka uzimalize!
hahahahahah
 
Kama ni wazee wafuate tu, jishushe. Kikubwa zaidi msome unayemsalimia yeye ni wa namna gani, kama ni wa kumpungia mkono kwa mbali mpungie tu. Kama ni wa kumfuata jongea kwake.
Inategemeana na mda huo ni mda gani na unaelekea wapi? Wengine mishe mishe zetu zina depend sana time....ukichelewa sekunde tu unalala njaaa
 
Aiseee
 
Kwa nini ushangae mkuu.....hiyo ndo asili sahihi ya neno shikamoo...."nipo chini ya miguu yako" ...... Shikamoo hutegemea pande mbili, kiutamaduni wetu ni katika umri mdogo kwa mkubwa, lakin waanzilishi walimaanisha katika upande wa......yule aliekuzid cheo au maisha au anaekutawala kivyovyote vile mpe shikamoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…