Sholam
Member
- Apr 18, 2017
- 54
- 127
My experience
Mm niliamua tu kutembea na yesu nkamuachia nyumba na watoto ila nkaondoka na document zote
Mpaka Leo hii ni 2years kila MTU anaishi maisha yake na mm nineowa na Nina mtoto mmoja kwa mke mwingine na Nina tarajia kufunga ndoa nyingine bomani
Eeenh uliwezaje na mlifunga ndoa ya KIDINI? nna maswali mengi juu yako aseeh, vipi kuhusu hiyo ndoa ya BOMANI itafungwaje bila kuwa na ushahidi wowote wa kuachana na ndoa yako ya mwanzo??? is It possible?